habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu
habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu
Ni mapumziko kikatiba, yataadhimishwa kwa kufanya usafi
Pole nimeona waraka wa boss wenu ...ila ni kuwa hakumuelewa magufuli.Tatizo maboss wengi wamepaniki hawajui magufuli anataka nn ...wao wsnamisintapriti maagizo. Ikulu leo wametoa waraka kuwa endapo mtu ana kazi muhimu aende ofisini vinginevo abaki nyumbani kufanya usafi. Pia usafi ni kazi...kwa iyo ni siku ya kazi.