Kesho ni kazi kama kawaida

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu
 
habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu

Pole nimeona waraka wa boss wenu ...ila ni kuwa hakumuelewa magufuli.Tatizo maboss wengi wamepaniki hawajui magufuli anataka nn ...wao wsnamisintapriti maagizo. Ikulu leo wametoa waraka kuwa endapo mtu ana kazi muhimu aende ofisini vinginevo abaki nyumbani kufanya usafi. Pia usafi ni kazi...kwa iyo ni siku ya kazi.
 
KESHO MAPUMZIKO niende kazini kufanya nini usafi naufanya kwangu kule wapo wahusika hahahhhhahhaahahha
 
Hata ofisini kwetu tumebandikiwa Tangazo kwenye ubao wa matangazo kuwa ni siku ya kazi kama kawaida
 
Serikali ya ccm kweli imejaa majitu majinga majinga tu. Hivi ni kiongozi gani asiyeelewa kwamba nchi inaongozwa na katiba? Ina maana hawa watu hawajui umuhimu wala thamani ya ktiba katika maisha ya Wananchi na ustawi wa taifa?

Ni mtu gani mwenye elimu sahihi ambaye hajui kwamba kufanya kazi kwa ufanisi si kunyima watu likizo? Na kwamba kuwanyima watu likizo ni njia murua ya kudhoofisha utendaji? Wamesoma HR za nchi gani hawa watu? Wanaongozaje binadamu bila kuwa na HR skills?

Ukistaajabu ya jk, utaona na Al Nusra.
 
Siku za mapumziko zipo kisheria,hakuna awezae kuziondoa zaidi ya bunge.watu wamepagawa tu na magufulification.kesho hakuna kazi
 
Pole nimeona waraka wa boss wenu ...ila ni kuwa hakumuelewa magufuli.Tatizo maboss wengi wamepaniki hawajui magufuli anataka nn ...wao wsnamisintapriti maagizo. Ikulu leo wametoa waraka kuwa endapo mtu ana kazi muhimu aende ofisini vinginevo abaki nyumbani kufanya usafi. Pia usafi ni kazi...kwa iyo ni siku ya kazi.

nakubaliana na ww mkuu maboss hawajamuelewa magu na pia hawana pa kushika wanadhani hiyo ni moja ya kamba za kushika kuwaokoa wasitumbuliwe majipu.
magu hakukataza mapumziko yy alichokuwa anapinga ni zile shamrashamra za u/taifa na kutumia mapesa mengi ambayo mwananchi wa kawaida vilikuwa havimsaidii.
alichosisitiza watu wafanye usafi ktk maeneo yao ili kuepuka gonjwa la kipindupindu na hii hususani majumbani.
unapowaamuru watu wafike kazini watafanya saa ngapi huo usafi.
 
Back
Top Bottom