Kesho ndiyo kesho 30/08/2011 kwa wanaokumbuka ahadi ya Waziri Mkuu kuna kitu?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ndg zangu! Ahadi ni deni! Tuna ahadi toka ndani ya Bunge le2 tukufu ya waziri mkuu ya kwamba ifikapo tarehe tajwa hapo juu hakika mgao wa umeme hapa nchi imekwisha na nafikiri Watanzania wote 2naisubiria siku ya kesho na bila shaka hili giza itakuwa imetutupa mgongo. WanaJF tusubirie na kuona. NAWAKILISHA!
 
ngoja tusubiri, sijui kama itakuwa kweli, maana yeye ni bingwa wa kudanganya umma
 
ngoja tusubiri, sijui kama itakuwa kweli, maana yeye ni bingwa wa kudanganya umma
<br />
<br />
Lakini Mi nafikiri ndiyo mwisho wake wa kuwadanganya Watanzania wenye kila sababu ya kuitetea Nchi yao ya kila hali ya NEEMA YA BWANA MUNGU WAO halafu mapapa wanakuja kutumeza ingali tuna macho. Jamani jamani!!!!
 
Wakitudanganya tu kwa mara nyingine tena,tunaenda kuchoma jengi lile lao lile la ubungo..TANESCO VIGEUGEU,NGELEJA VIGEUGEU


"MGAO WA UMEME UTAKUA HISTORIA"-NGELEJA
 
mtamuliza tu yule jamaa anavyojua kulia yule mbana balaaa......alijisemea tu hana lolote yule
 
Title imeandikwa kitoto sana, hata kama mtu ulikuwa una hamu ya kusoma ujumbe wa ndani hamu yote inaisha.
 
Hakuna neno wadanganyika tunaogopa vita ,tupo tayari kutetea upuuzi kwa visingizio visivyo na macho wala miguu,wataendelea kutudanganyika wapendavyo,mungu atupe ufahamu wa kuchambua ukweli na uongo wa viongozi wetu ,Amin
 
Hawaaminiki hawa watu... Infact wakisema kitu kinapungua ujue ndio kinazidi, kama kinaisha ujue ndio kinaanza rasmi! Mh ila tusubiri tuone labda hili la umeme itakua tofauti...
 
hivi kuna namna gani nzuri ya kumkumbusha kuwa alisema kesho ndio deadline ya giza kuwepo au expiry date ya giza..............changa la macho hilo, sie hapa ofisini umeme ni kila baada ya siku mbili
 
watanzania wa sasa balaa wananote kila kauli, na kusubiri matokeo na muda wa utekelezaji, Pinda atatamani angekuwa kiongozi enzi zileeeee! Kwa taarifa yenu sidhani kama pinda mwenyewe anakumbuka kauli hii, angekumbuka ingekuwa bunge linaendelea labda waandishi wa habari wahoji utekelezaji wa kauli hii umefikia wapi. au tumuulize mzee wa Megawatt ngeleja!
 
watanzania wa sasa balaa wananote kila kauli, na kusubiri matokeo na muda wa utekelezaji, Pinda atatamani angekuwa kiongozi enzi zileeeee! Kwa taarifa yenu sidhani kama pinda mwenyewe anakumbuka kauli hii, angekumbuka ingekuwa bunge linaendelea labda waandishi wa habari wahoji utekelezaji wa kauli hii umefikia wapi. au tumuulize mzee wa Megawatt ngeleja!
<br />
<br />
MI NAONA KWELI ANAWEZA AKAWA HAKUMBUKI MANENO YAKE ALIVYOKUWA ANADANGANYA UMMA,NA KAMA KUNATALIYE NA MAWASILIANO YA KARIBU KWA YULE NGELEJA ANGEMTWANGIA TU AMWULIZE MGAO UMEKWISHA?
 
Mpk hivi sasa huku kwe2 Arusha mjini,Sakina na hata pembezoni mwa mji kuna umeme tangu leo sasa kumi na mbili ya asubuhi na nafikiri bila shaka makali ya umeme umepungua,lakini hebu tusubirie kidogo.
 
Back
Top Bottom