Kesho Magufuri atakuwa na ziara mkoani Pwani yakuzindua viwanda vikubwa 5 katiya 80 vinavyojengwa.

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,958
6,989
Kesho Magufuri atakuwa na ziara mkoani Pwani yakuzinduani viwanda 5 vikubwa kati ya 80 ambavyo bado vinaendelea na ujenzi. Mkoa wa Pwani pekee toka ameingia raisi Magufuri unazaidi ya viwanda 200 ambavyo vingine vimeisha navingine vipo katika ujenzi.

Viwanda vinavyozinduliwa kesho. Nikiwanda cha Chuma, kiwanda chakukausha matunda kwaajili yasoko la nje, kiwanda cha vifungashio, kiwanda cha juisi na kiwanda chakutengeneza tractor. Serikali ya Viwanda ya Doctor John Pombe Magufuri
 
Ukiwa na vyerehani vinne tayari una kiwanda!

04685a7b967030f859441a84b2d9abb3.jpg
 
Moja ya kiwanda kitakacho zinduliwa kesho. Nihiki kiwanda cha Chuma. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeza nondo na aina tofauti za vyuma. Kiwanda pekeyake kina urefu wa kilometer moja na reli train (railway system) yenye urefu wa 1.2 kilometers. Pia kinatumia Coal kuzalisha umeme wakiwanda nakuyeyusha chuma. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Thank you Magufuri.
downloadfile-31.jpeg
images-20.jpeg
unnamed+%2814%29.jpg
DSC_0442.jpeg
 
Kama umetengeneza ajira za watu wanne na mnageuza raw material into a product kwa mini kisiwe kiwanda kidogo. 75% ya viwanda vya China ni small scale industries. Viwanda vidogo inabidi viwevingi sana ili large and mega industries vya kuzalisha raw materials viwepo. Pili viwanda vidogo nirahisi kuvimudi.Tatu viwanda vidogo vinaondoa risk ya unemployment inayoweza kusababishwa na viwanda vikubwa.Nne viwanda vidogo ni raisi kuanzishwa vijijini kwa hiyo utengeneza rural investment. Tano viwanda vidogo maintenance yake ni ndogo nasita vinatengeneza pia ajira. Unemployment Marekali imetokoa baada ya viwanda vikubwa kufunga jambo ambalo China nivigumu kutokea kutokana na asilimia kubwa ya viwanda vidogo. Usivibeze viwanda vidogo vinaumuhi sana kuliko hata viwanda vikubwa. Ahsante sana Waziri wa viwanda kwakuliona hilo.Tuakikishe 80% ya viwanda vyetu niviwanda vidogo. Nendeni China na India mkajioni majumbani wanapoishi au nenda pale kwenye nyumba za wachina Mikocheni ukajione wanavyopiga kazi nakuuza hapa hapa nchini.

Tatioz wabongo wamezoea kupinga kila kitu china kuna viwanda vidogo mpaka unashangaa
 
Watakuelewa wachache sana! Wengi wamekariri tu hiyo statement na kuishia kukoment automatically
 
Moja ya kiwanda kitakacho zinduliwa kesho. Nihiki kiwanda cha Chuma. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeza nondo na aina tofauti za vyuma. Kiwanda pekeyake kina urefu wa kilometer moja na reli train (railway system) yenye urefu wa 1.2 kilometers. Pia kinatumia Coal kuzalisha umeme wakiwanda nakuyeyusha chuma. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Thank you Magufuri.View attachment 527663 View attachment 527665View attachment 527666View attachment 527667
Ndugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
 
Leta jina la kiwanda cha chuma kikubwa zaidi ya hiki
Najua vizuri sana nisawa na meter 1000. Ingia you tube andika Kiluwa steel utapata kujua hicho kiwanda video inayoeleza urefu wa reli ndani ya kiwanda. Ingia YouTube kwanza
 
Pia kuna kiwanda cha vigae cha Goodwill kinaurefu almost wa 1 kilometer. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeneza vigae kimesha zinduliwa ingia You Tube
Leta jina la kiwanda cha chuma kikubwa zaidi ya hiki
 
J
Moja ya kiwanda kitakacho zinduliwa kesho. Nihiki kiwanda cha Chuma. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeza nondo na aina tofauti za vyuma. Kiwanda pekeyake kina urefu wa kilometer moja na reli train (railway system) yenye urefu wa 1.2 kilometers. Pia kinatumia Coal kuzalisha umeme wakiwanda nakuyeyusha chuma. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Thank you Magufuri.View attachment 527663 View attachment 527665View attachment 527666View attachment 527667
Tanzania mpya hiyoo
 
Ndugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
Nimesema kiwanda kikubwa chakutengeneza za steel and iron kikubwa East and Central Africa kinaurefu wa 1km. Kama kunakiwanda cha steel kikubwa zaidi yahiki tuletee hapa. Hicho kinaitwa Kiluwa Steel. Waweza ingia you tube kujua zaidi
 
Jamii forums haina mipaka kupashana habari
Kupashana ni muhimu na inakubalika ila hii habari haipaswi kua hapa, halituhusu sisi kama wakenya na chochote, that's the creator of the site made forum names to guide members on where and what to post.
 
Nimesema kiwanda kikubwa chakutengeneza za steel and iron kikubwa East and Central Africa kinaurefu wa 1km. Kama kunakiwanda cha steel kikubwa zaidi yahiki tuletee hapa. Hicho kinaitwa Kiluwa Steel. Waweza ingia you tube kujua zaidi
Huyo niwakumpuuza tu
Lazima ajue Hii ni Tanzania mpya
Nimwendo wa Viwanda tena vya ukweli ukweli
 
Back
Top Bottom