Kesho Magufuri atakuwa na ziara mkoani Pwani yakuzindua viwanda vikubwa 5 katiya 80 vinavyojengwa.

Kenyans, just remember:

The once sleeping giant is fully awake now. Expect wonders, nothing less.

We have beaten you in pipeline, we are currently beating you hands down in SGR and soon you will be holding a tail position in the industrial sector.

Keep this in your minds.
 
Kwa miaka mitatu ijayo kujenga nyumba ya kisasa Tanzania itakua ni rahisi kuliko hata gharama za kuishi.

Sababu tuna mega industries zinazohusika na vifaa vya ujenzi kama

1. Kiwanda cha cement (more than 10)
2. Kiwanda cha ceramic tiles
3. Kiwanda cha chuma
4. Kiwanda cha gypsum
5. Kiwanda cha vigae (roofing materials)
6. Viwanda vya electronic accessories
7. Viwanda vya bati
And the list goes on
Mkuu kuna kiwanda cha cement cha $1.2 Billion pamoja na industrial park kutoka SINOC Kampuni ya serikali ya China. Kitakuwa ndokiwanda kikubwa cha cement East and Central Africa kuliko ata cha Dangote. Kitazalisha 6 million tonnes of cement per year, 30% of cement for domestic use and 70% for export. Direct employment 2000 Kitatengeneza. Pia cement yao ndoitatumika kujenga Silk road. Hii nikampuni ya serikali ya China. Vifaa vyakiwanda vimeshaanza kuingia nchini. Kwa sasa kwenye swala la viwanda ni speed 360.
cement.jpg
cement+2.jpg
 
Mkuu kuna kiwanda cha cement cha $1.2 Billion pamoja na industrial park kutoka SINOC Kampuni ya serikali ya China. Kitakuwa ndokiwanda kikubwa cha cement East and Central Africa kuliko ata cha Dangote. Kitazalisha 6 million tonnes of cement per year, 30% of cement for domestic use and 70% for export. Direct employment 2000 Kitatengeneza. Pia cement yao ndoitatumika kujenga Silk road. Hii nikampuni ya serikali ya China. Vifaa vyakiwanda vimeshaanza kuingia nchini. Kwa sasa kwenye swala la viwanda ni speed 360.View attachment 528035View attachment 528036
Wakenya wapate somo kwamba sisi ni donor country soon to be official
 
Kiwanda cha matrekta cha TAMKO kinapanulia tena ya malambili kilichozinduliwa Leo. Jiwe lamsingi limeweka na Magufuli ilikuanza kwa upanuzi.
FB_IMG_1497489021496.jpg
FB_IMG_1497489008413.jpg
 
Hiki ndokiwanda cha Goodwill ceramics/tiles largest East and Central Africa kinaurefu wa 1km nabado kinapanuliwa. Kinazalisha umeme wake kwakutumia gesi. Kimesha ajili wafanyakazi 1500 pindi kinazinduliwa. Jumla ajila zitakuwa zaidi ya 2000 kitapo kamilika.
FB_IMG_1497488924215.jpg
FB_IMG_1497488952747.jpg
 
Back
Top Bottom