mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,063
- 6,730
Kwani wakati huo watanzania hawakuwa maskini, hizi sifa za kijinga hazina maana, tuongelee maendeleo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kusifiwasifiwa na kubembwa ndo kumetufanya tuwe wagonjwa wa kuwategemea hao jamaa unaodhani ni marafiki wa kweli. Unahitaji tu kuangalia kwa ukaribu wa kina kilichotokea (na kinachoendelea kutokea) Libya na Venezuela ili uelewe rangi kamili na nia ovu ya Western & European imperialists. Huu ni wakati wa Tanzania kusimama imara, yenyewe. Hatutaki tena nchi yetu iwe koloni la London na Washington. Rais Magufuli ndiye kiongozi sahihi wa kututoa huko.Tatizo la nchi hii ni kwamba iko mikononi mwa limbukeni na washamba wasiojua nafasi ya Tanzania katika Afrika na duniani. Waliokuwepo wakati wa Baba wa Taifa wanakumbuka ziara ya Mwalimu alipoitembelea Marekani na mapokezi na heshima aliyopewa hakuna Rais kutoka Afrika amewahi kupewa toka wakati huo labda tu ya Mandela ndiyo iliikaribia. Mwalimu pia alikaribishwa nchini Uingereza katika ziara ambayo haina mfanowe Afrika hadi leo.
Nyakati hizo hukuhitaji viza kuingia Uingereza na nchi yoyote ya Jumuiya ya Madola, visa yako ilikuwa ni Utanzania wako tu. Lakini leo Tanzania inadharauliwa na inachekwa ikiwekwa kundi moja na mataifa ya ajabu ajabu. Mwakilishi wa Tanzania alipokuwa akiongea ndani ya Umoja wa Mataifa, dunia nzima ilisikiliza. Hiyo Tanzania ya siku hizo bado inakumbukwa huko nje kuliko inavyokumbukwa na baadhi ya viongozi tuliowasukumizia madaraka. Masikini Tanzania!
Kwanini huwa hampendi kuheshimu mawazo ya watu Mkuu Jingalao ni mmoja ya watu wapenda MAENDELEO ya nchi hii.Unamjibu huyo jinga la mwisho, ni moja ya hopeless citizen in this Country.
Kwenye kile kibanda cha kupanga? Hawa hawana lolote, wanataka kusema tu kuwa wanaachana na siasa na kuua vyama vyao. Washaisoma namba sasa, kudadadeki zao.Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
Tujitokeze kwa wingi uwanja wa jamhuri siku ya kuapishwa raisi wa kuchaguliwa!Kaitaarifu ile kamati ya maadili iwaite wajieleze au iwazuie kampeni kwa siku 7.
Nauli wametoa?Tujitokeze kwa wingi uwanja wa jamhuri siku ya kuapishwa raisi wa kuchaguliwa!
Nitakwambia kwa nini haiwezi kuwa hivyo.Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema. Tanzania mpya ya kijani.
Kwani Lissu angeshinda ,angewajengea wapiga kura nyumba kila mmoja?Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika.
tOKA NJE USIKAE KWENYE KEYBOARD UNATOA MATAMKO , HAKUNA MTANZANIA ANAYEPENDA FUJO ZENU WACHA MSHUGHULIKIWE.Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika.
siwezi kujibizana na mtu duni kama weweWewe una ushujaa gani? Ingia road kesho tuone
Hivi huwa wanaogopa nini hawa jamaa zetu?Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema. Tanzania mpya ya kijani.
Swali: Mama yako wakimbaka utakaa kimya eti usilete matatizo?Tunasubiri hoja za kuimarisha amani na umoja wa kitaifa.
Mengine ni kujipikia matatizo
Nguvu zote za kutengeneza picha fake na mabango fake ya Lissu ndio mnapata kichapo kama hiki?siwezi kujibizana na mtu duni kama wewe
Wewe kapuku hujui kitu , nyamazaNguvu zote za kutengeneza picha fake na mabango fake ya Lissu ndio mnapata kichapo kama hiki?