julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 1,485
- 2,000
umebadilika wewe labda ambaye una maslahi na hili.Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika.
Tamko: mimi kama mtanzania wa kawaida kabisa wa kipato cha wastani nitakua ndani nikisubiri ugali wangu dona na bamia langu nikisubiri wewe ukaandamane kama mwakilish wangu.SIANDAMANI