Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Wewe una ushujaa gani? Ingia road kesho tuone
Tatizo la nchi hii ni kwamba iko mikononi mwa limbukeni na washamba wasiojua nafasi ya Tanzania katika Afrika na duniani. Waliokuwepo wakati wa Baba wa Taifa wanakumbuka ziara ya Mwalimu alipoitembelea Marekani na mapokezi na heshima aliyopewa hakuna Rais kutoka Afrika amewahi kupewa toka wakati huo labda tu ya Mandela ndiyo iliikaribia. Mwalimu pia alikaribishwa nchini Uingereza katika ziara ambayo haina mfanowe Afrika hadi leo.

Nyakati hizo hukuhitaji viza kuingia Uingereza na nchi yoyote ya Jumuiya ya Madola, visa yako ilikuwa ni Utanzania wako tu. Lakini leo Tanzania inadharauliwa na inachekwa ikiwekwa kundi moja na mataifa ya ajabu ajabu. Mwakilishi wa Tanzania alipokuwa akiongea ndani ya Umoja wa Mataifa, dunia nzima ilisikiliza. Hiyo Tanzania ya siku hizo bado inakumbukwa huko nje kuliko inavyokumbukwa na baadhi ya viongozi tuliowasukumizia madaraka. Masikini Tanzania!
 
Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika.
Sema wewe usitusemee sisi watanzania tunaoendelea na kazi zetu baada ya kuchagua viongozi tunaowapenda na idadi yetu imetajwa na Tume.
 
Daaah upinzani em kubalini kuwa mmeshindwa, mbaya zaid kesho mtaniharibia biashara yangu ya karanga barabaran kwa vurugu zenu za kipumbavu
 
Tatizo la nchi hii ni kwamba iko mikononi mwa limbukeni na washamba wasiojua nafasi ya Tanzania katika Afrika na duniani. Waliokuwepo wakati wa Baba wa Taifa wanakumbuka ziara ya Mwalimu alipoitembelea Marekani na mapokezi na heshima aliyopewa hakuna Rais kutoka Afrika amewahi kupewa toka wakati huo labda tu ya Mandela ndiyo iliikaribia. Mwalimu pia alikaribishwa nchini Uingereza katika ziara ambayo haina mfanowe Afrika hadi leo.

Nyakati hizo hukuhitaji viza kuingia Uingereza na nchi yoyote ya Jumuiya ya Madola, visa yako ilikuwa ni Utanzania wako tu. Lakini leo Tanzania inadharauliwa na inachekwa ikiwekwa kundi moja na mataifa ya ajabu ajabu. Mwakilishi wa Tanzania alipokuwa akiongea ndani ya Umoja wa Mataifa, dunia nzima ilisikiliza. Hiyo Tanzania ya siku hizo bado inakumbukwa huko nje kuliko inavyokumbukwa na baadhi ya viongozi tuliowasukumizia madaraka. Masikini Tanzania!
Mkuu, kwa sasa heshima yetu kimataifa ni kubwa sana, hususan wakati huu wa utawala wa Magufuli. Si unajua foreign policy is justifiably regarded as an extension of domestic policy. Huu moto wa sera zetu nzuri za ndani chini ya uongozi wa JPM ndiyo moto wa diplomasia yetu pia nje. Tuko vizuri sana huko nje na Tanzania inaheshimiwa mno.
 
Kwa maslahi ya madaraka,watakwambia Nyerere nae alikuwa kibaraka wa mabeberu ndio maana walimpa heshimu hiyo.
 
Hawa Jamaa kweli Vilaza. Kwahiyo Matamko wanayatolea Dar na sio huko Majimbo kwao walikoshindwa vibaya. Kama huyu Zitto namuonea huruma kuwafuata fuata hao kina Mbowe ndo kumuharibia zaidi.
 
Umoja wa kitaifa kwa ubaguzi huu na ubakaji wa demokrasia? Haki itendeke, bila haki hakuna umoja wa kitaifa.
Mahakama zipo na sheria siyo bubu.

Tumieni njia za kikatiba kutatua shida za kisiasa.

Mnaposema mnategemea nguvu ya umma. Umma upi huo? Uliowakataa kwenye uchaguzi au wale wasiopigakura wakisubiri maagizo?
 
Back
Top Bottom