Kesho itakuwa mwisho kwa mbunge kuitwa mbunge na diwani kuitwa diwani.

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Kuna wanawake watatu waliokuwa wabunge viti maalum chadema wamekihama chama na kujiunga ccm.

Kwa ushamba wa watu wanaotawala nchi wanasema eti wabunge watatu wameunga mkono juhudi.
Kwani hao wanatofauti gani na wanachama au wananchi wa kawaida?

Wameondoka hao watakuja wengine
Watanzani wangekuwa na akili, mwaka huu wasingepiga kura hata mmoja, hawa wanasiasa wajioigie wao na familia zao.

Maana mtu tumwamini kupitia chama fulani baadae anatuangusha. Kumbe nia yao siyo kutupigania kumbe ni kujaza matumbo yao.
 
Maana mtu tumwamini kupitia chama fulani baadae anatuangusha. Kumbe nia yao siyo kutupigania kumbe ni kujaza matumbo yao tu
PUMBAVU AO
Mkui kesho ndo bunge linavunjwa ama?
 
Kuna wanawake watatu waliokuwa wabunge viti maalum chadema wamekihama chama na kujiunga ccm.

Kwa ushamba wa watu wanaotawala nchi wanasema eti wabunge watatu wameunga mkono juhudi.
Kwani hao wanatofauti gani na wanachama au wananchi wa kawaida?

Wameondoka hao watakuja wengine
Watanzani wangekuwa na akili, mwaka huu wasingepiga kura hata mmoja, hawa wanasiasa wajioigie wao na familia zao.

Maana mtu tumwamini kupitia chama fulani baadae anatuangusha. Kumbe nia yao siyo kutupigania kumbe ni kujaza matumbo yao.
Mbunge kuhama chama nimekuja kujua kwamba ni haki yake kikatiba. Hatutaki udikiteta tunataka demokrasia.
 
Back
Top Bottom