Kesho Ijumaa tarehe 11 May kuna Sikukuu gani jamani Kitaifa?

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Wadau naomba kuuliza kesho kuna Sikukuu gani toka asubuhi nawasikia hawa Clouds wanasema?

Mwenye kujua anijuze jamani, Maana nisije kulala kesho kibarua changu kikaota nyasi?
 
We ukoje!!?, mbona unakosea vyote Mzee!!?, kwanza kesho sio tarehe 10, lkn pia kesho sio sikukuu.
 
[HASHTAG]#Sikukuu[/HASHTAG]
Screenshot_20180510-203631.jpg
 
Wadau naomba kuuliza kesho kuna Sikukuu gani toka asubuhi nawasikia hawa Clouds wanasema?

Mwenye kujua anijuze jamani, Maana nisije kulala kesho kibarua changu kikaota nyasi?
Achana na mambo ya clouds ni misukule ya mzee Jiwe,
Wajanja tulishaachana nao kitambo
 
Wadau naomba kuuliza kesho kuna Sikukuu gani toka asubuhi nawasikia hawa Clouds wanasema?

Mwenye kujua anijuze jamani, Maana nisije kulala kesho kibarua changu kikaota nyasi?
Birthday uangu, so ni siku ya mapumbziko kitaifa
 
Back
Top Bottom