Kwell round hii rigi serekalin rais na mawazir nan zaidImekuwa ni staili mpya ya mawaziri wa jpm il aonekane anafanya kazi vizuri ni lazima afukuze mtumishi wa umma haya kesho movie linaendelea wadau mnakaribishwa kubunia kesho ni zamu ya wapi
Imekuwa ni staili mpya ya mawaziri wa jpm il aonekane anafanya kazi vizuri ni lazima afukuze mtumishi wa umma haya kesho movie linaendelea wadau mnakaribishwa kubunia kesho ni zamu ya wapi
Mijizi na mibadhirifu ya mali ya umma ibutuliwe tu; kiendacho hurudi; they had their fair share of good times at the expense of the common man; its pay back time dude!Awamu ya fukuzafukuza! Na ukurupukaji
Leo unamfukuza mtu tena kwa kupitia vyombo vya habari. je haki ya utumishi inasema vipi?
Kabla ya kumfukuza mtu je anakuwa amekutana na wahusika kuwasilikiza au kwa kuwa mimi ni bosi basilakini wawe makini naziona kesi nyingi sana dhidi ya serikali ambazo watalipwa vizuri tu kama mnakumbuka kuna jengo lilianguka pale upanga aliyekuwa waziri mkuu wakati ule alimfukuza mwandisi wa jiji hadharani kilichotekea akaenda mahakamani alilipwa pesa nzuri kabisa na serikali ya jk
Yawezekana katika vigezo vya kuwapima utendaji wa Mawaziri kuna idadi ya wafanyakazi wa umma aliowafukuza (wanaita kutumbua majipu)! Mwanzo walikuwa wakifukuza au kusimamisha moja kwa moja, sasa hivi wameboresha wanaagiza watendaji (Mamlaka zao husika) kuwaandikia barua za kuwafukuza au kuwasimamisha. Wasiwasi wangu je huwa kuna taratibu za kisheria na kikanuni zinazokuwa zimefanyika kabla ya hatua hiyo. Maana hii inaweza kuleta hasara kubwa kwa serikali. Upo ueezekano kwamba taratibu za kisheria na kikanuni zinakuwa zimefanyika na waziri anakuja kufanya maigizo ya kisiasa, lakini pia upo uwezekano kuwa wanafanya bila kufuata hizi taratibu. Mathalani nimesikiliza ya Nape na wafanyakazi wa TBC nimeshindwa kuelewa hasa ni kosa gani linalowasimamisha. Kama ni utendaji mamlaka zao zipo na zilipaswa kuliona hili na taratibu zifuatwe; na mamlaka hiyo si Waziri!Imekuwa ni staili mpya ya mawaziri wa jpm il aonekane anafanya kazi vizuri ni lazima afukuze mtumishi wa umma haya kesho movie linaendelea wadau mnakaribishwa kubunia kesho ni zamu ya wapi
Yawezekana katika vigezo vya kuwapima utendaji wa Mawaziri kuna idadi ya wafanyakazi wa umma aliowafukuza (wanaita kutumbua majipu)! Mwanzo walikuwa wakifukuza au kusimamisha moja kwa moja, sasa hivi wameboresha wanaagiza watendaji (Mamlaka zao husika) kuwaandikia barua za kuwafukuza au kuwasimamisha. Wasiwasi wangu je huwa kuna taratibu za kisheria na kikanuni zinazokuwa zimefanyika kabla ya hatua hiyo. Maana hii inaweza kuleta hasara kubwa kwa serikali. Upo ueezekano kwamba taratibu za kisheria na kikanuni zinakuwa zimefanyika na waziri anakuja kufanya maigizo ya kisiasa, lakini pia upo uwezekano kuwa wanafanya bila kufuata hizi taratibu. Mathalani nimesikiliza ya Nape na wafanyakazi wa TBC nimeshindwa kuelewa hasa ni kosa gani linalowasimamisha. Kama ni utendaji mamlaka zao zipo na zilipaswa kuliona hili na taratibu zifuatwe; na mamlaka hiyo si Waziri!
Nafikiri baada ya muda tutasikia mengi zaidi. Tusubiri