Kesho:chadema vs ccm, Taifa Stars vs Ivory Cost..

Status
Not open for further replies.

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
910
247
Kesho kutakuwa na matukio mawili mhimu katika taifa letu. Kwa upande wa chaguzi ndogo tayari tumeshaanza kusikia matukio mabaya ya viongozi wakubwa wa ccm wakikamatwa na chadema wakiwa wanagawa rushwa kwa wapiga kura huko manyara,kilosa,Arusha na Sengerema. Je, hii inaashiria nini wakati huo huo Shonza ametoa taarifa hapa jamvini za ushindi wa ccm kata zote za Arusha? Tukio lingine ni meshi ya kimataifa kati ya Taifa stars na Ivory cost uwanja wa taifa kuwania kufuzu kombe la dunia huko Brazil. Matukio haya yote ni mhim...je nani kati ya matukio haya ataibuka kidedea?....
 
Hii ni picha nzuri jinsi CCM itakavyo kuwa hikimalizika 2015. Kama Rushwa ikishindwa kufanya kasi unadhani kuna chama hapo. Nakumbuka Kikwete alikuwa akipiga vita rushwa...Sasa kama CCM ni vidume kweli wajaribu kutotumia rushwa katika mikutano, chaguzi na mambo mengine ili kupima kukubalika kwao kwa jamii
 
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham
 
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham

Kweli kabisa, CCM inafahamika dunia nzima!!

992948_10201247872948004_226783769_n.jpg
 
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham
Wewe uko kwenye kibarua, ni sawa tu mfanya biashara ya bangi...mawazo ya kijuha haya,kama ccm ingekuwa simba msingejihusisha na rushwa,hujui hata unachotetea, ujinga tu unaoandika hapa na dunia yote inasoma ujinga wako
 
Prince Tumbo nimeipenda hiyo ya ccm vs cdm,na ivorycoast vs Taifa star,inanikumbusha Arumeru wakati siku hiyo kulikuwa na England durby na Tanzania siku hiyohiyo uchaguzi hatimaye Nasari akampiga chini SIOI mkwe wa jamaa nadhani hata keshi itakuwa hivyo asante na Bravo Cdm.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom