kero za mama mkwe ndo zimenifanya NAGONGA HODI jf kuomba ushauri

SUNGURA MPOLE

Member
Dec 5, 2011
19
3
Mi ni mgeni hapa jf NAWAOMBA MNIPOKEE na nimekuja na lundo la visa vya mama mkwe wangu, JAMANI NIPENI USHAURI jins ya kuweza kumhandle.
 
mkuu mbona hili nicks kama lilishawahi kuwepo humu..

halafu hilo dukuduku lako litatatuliwa MMU..:poa

karibu sana..
 
Pole sana kwa yote yaliyokukuta na karibu sana JF. Maadamu umefika hapa JF hesabia kuwa tatizo lako limetatuliwa. Nitakusaidia kadiri ya uwezo wangu ili kuhakikisha kuwa tatizo lako linatatuliwa
 
Mi ni mgeni hapa jf NAWAOMBA MNIPOKEE na nimekuja na lundo la visa vya mama mkwe wangu, JAMANI NIPENI USHAURI jins ya kuweza kumhandle.

Karibu sana. Lakini humu Sungura Mpole yupo sijui tutawatofautisha vipi!
 
ukimkataa mama mkwe,
mkatae na mumeo,
kwani ukipenda boga upende na ua lake.
 
Back
Top Bottom