Kero yangu ni vibonge, jirekebisheni

Tukiachana na hayo. Vibonge ni watu wazuri sana wacheshi, hawana roho mbaya, pia wengi wao ni watu wa utani sana. Sasa wew mtoa mada utakua umekonda kama miwa ya kilosa na ni wivu tu unakusumbua. Vibonge wengi hawana tatizo na mtu.
Niliwahi mtania mmoja ,"tipwa tipwa" nilioga mvua ya matusi na WAKATI yeye ndo alianza Kwa kuniita Mimi mpapai....
 
Bado hujakaa nao kwenye vyombo vya usafiri, tena ile safari ndefu utachukia,. Unaweza kaa tako moja kilomita zaidi 800.
Hawajui kujibana kabisa yaani akisha kaa amekaa, na hawajishitukii ama kuona ajabu
Nimeshangaa sana kuona hii comment,
Mkuu nipo safarini hapa nilipo nateseka,

Hili jamaa linasinzia kuanzia saa 12 asubuhi, kuna mda alishtuka nikashukuru, kumbe kaamka kubugia ma bites yake, kashiba kalala ten, kila saa ananiangukia, miguu katanua kama anapiga punyeto, Sio vizuri tuu ila ningepiga picha muone.
Ni kifutu halafu mfupi, nimeongea mpk konda kanisaidia ila wapiii, hii safari imekua shubiri kwangu..
 
Nimeshangaa sana kuona hii comment,
Mkuu nipo safarini hapa nilipo nateseka,

Hili jamaa linasinzia kuanzia saa 12 asubuhi, kila saa ananiangukia, miguu katanua kama anajifungua, Sio vizuri tuu ila ningepiga picha muone.
Ni kifutu halafu mfupi, nimeongea mpk konda kanisaidia ila wapiii, hii safari imekua shubiri kwangu..
Nimecheka sana jamani dah🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
wanapenda kujamba jamba hovyo sana
 
Mipango ya maisha ni sifuri ..mkikaa myajenge..mwenzako zamaan anakoloma....

2:Ukienda nae mtoko..usiombe mcheze blues!! Inakua kama unasogeza friji lenye vitu!!!

3; ukiwa chumban na unaharaka ya kutoka nje ..my frend!!!!..unaweza kuvaa jichupi lake ukijua vest yako....

Vibonge..jamaa...
N.B
Hawa watu hawajui kununa..they have free soul!!!
 
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom