Kero yangu ni vibonge, jirekebisheni

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
Nimezunguka karibia mikoa yote Tanzania. Kila nilipo pita na kuweka makazi ya muda.

Nilikuwa nakuta na hawa watu wanene maarufu kama VIBONGE (wingi) na Bonge (umoja) (siyo rasimi, onesigara ata fafanua hapo.)

Sasa hawa Vibonge binafsi wananikera sana, yaani wote ME na KE, wanatabia zinazo fanana, kama Uchafu, Uzembe na uvivu, Kula Sana, kujikuna sehemu nyeti au kuweka mikono huko, kutoa mitusi ovyo hata mbele ya watoto wadogo, dharau na mengine mengi.

Nimekuja kutoa hasira zangu hapa na kuwachana hawa Ndugu zangu Vibonge, kutoka na hii tabia ya kibonge mwanzao ambaye naishi naye hapa kugoma kubadilika.

Yaani akiwa ana swaki limkono loote linajaa povu la dawa ya Meno.

Anatema hovyo ovyo mapovu ya dawa ya Meno.

Anaogea ndoo YEYOTE anayo iona mbele yake.

Machupi chupi yake kuya Acha bafuni ni kawaida (huyu ni wakike)

Kuna wakiume naye anatabia hizohizo hapa Jirani yangu,yaani kila nikikutana naye anakuna pumb* na analazimisha kunipa mkono, akiwa anamafua apenga kamasi bila leso.

Tukienda kula gengeni anasubiri wewe uagize kwanza, kama ni wali Nyama atapiga vifundo kadhaa vya wali na Nyama mbili anakubakizia mbili then ndo ana agiza na yeye, na kereka saana.

RAI YANGU.
-- VIBONGE BADILIKENI MNANIKERA SANA.IKIWEZEKANA UNDENI UMOJA WENU MKANYANE.

-- NIMEKASIRIKA SANA HAPA.

--NA SIHITAJI MSAMAHA WENU KATIKA HILI.
 
Alafu
1. Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana

Hapo kwenye kukoroma napigilia msumarii!
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
daaah mkuu hapo kwenye kuacha maganda ya matunda nankutotandika kitanda ni mimi kabisa uyo japo sio kibonge
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
Na.4 umewasingizia
 
Bado hujakaa nao kwenye vyombo vya usafiri, tena ile safari ndefu utachukia,. Unaweza kaa tako moja kilomita zaidi 800.
Hawajui kujibana kabisa yaani akisha kaa amekaa, na hawajishitukii ama kuona ajabu
Kuna kipindi nilisoma taarifa bbc raiya moja wa marekani alienda dai fidia na kuwashtaki baada ya kupangiwa siti ilioko karibu na kibonge kwenye shirika moja la Ndege.

Pia nahisi ukiwa bonge kuna biological effect zinapelekea hizo hali sio kwamba tuu wana copy mahali hizo tabia ila zinaendeshwa toka ndani ya miili yao
 
Back
Top Bottom