Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 31
Hivi nyie majirani mnaoharibu ndoa za watu, mnagombanisha wanandoa wasielewane kwa maneno ya umbeya ukimuona baba flani kaka sehemu either bar au sehemu yeyote na mwanamke tayari umepeleka umbea kwa mama flani eti umemuona baba flani yupo na kimada na chumvi nyingi unaongeza.
Nikuulize kwani wewe unawajua dada zake na baba flani? Mtu anashangaa karudi nyumbani wife amenuna na maneno juu ya kashfa anakupa ukijitathmini hujafanya anayokuambia sasa jamani hapo kinachofuata ni nini? Kama sio kuchapana makonde kama Manny pacquio na Mayweather. Kwanini lakini? Mnagombanisha ili mpate nini? Wakiachana unalipwa na nani, mnisamehe kama nimekosea.