Kero ya usafiri Dar

nicetas

JF-Expert Member
May 29, 2012
329
181
Kwa yeyote anayehusika haya magari yenye ruti maalum toka zamani kwa nini sasa yanabadili njia kwa faida ya convid na kututesa sisi wengine kama tunaotaka kwenda mawasiliano makumbusho tunatokea Mbezi wanakata kisa waende Kariakoo kwa 1000?

Mamlaka zinazohusika hili hamlioni? Tunateseka Tafadhali na barabara zimejaa polisi wa usalama ila wanawaangalia tu jamaani
 
Ndugu ni hivi hawa LATRA na polisi wa barabarani lao ni moja unaweza kuwa mbezi ya Kimara na wala usipate basi la kwenda makumbusho zaido yale mabasi ya Simu 2000 makumbusho ndio yanatoka Mbezi mpk simu 2000. Ukitaka ujue Trafiki ni watu wa hovyo kila daladala zikingia pale simu 2000 anashuka kondakta anaenda kuonana na Trafiki. Hawa TAKUKURU sijui wanawaza nini Rushwa zipo wazi pale simu 2000. Mimi ningekuwa Simbachawene hawa polisi Trafiki wote wa majiji makubwa ningewahamishia FFU wakalinde mabenki na mageti ya viongozi
 
Sasa na wewe si uende wanakokwenda wenzio kwani lazima uende makumbusho,vitu vingine vya kulalamika ivi.
 
Back
Top Bottom