Kero ya uchafu wa mabasi ya mwendokasi

fungafunga

Senior Member
Mar 30, 2010
116
155
Wanajamvi.
Nimekuwa mteja wa mabasi haya kwa muda mrefu nikivumilia kero zote lakini hili la uchafu wa mabasi naona sasa ni uzembe uliopitiliza.
Kwakweli hii ni aibu kubwa kwa menejimenti ya huu mradi. Unawezaje kutumia basi mpaka linakuwa na ukoko wa vumbi kwenye roof ya basi? Hii inakuwaje?
Jirekebisheni jamani hii ni aibu!
 
Back
Top Bottom