Kero ya Tecno

Karibuni natumia tecno pop 2. Napenda kutumia vitu ambavyo ni common , huduma zipo katika kidole changu. I hate iPhone. I don't like uniqueness. Pc natumia Acer aspire . I don't like apple. Coiz maintenance are simple, application , sharing of software kwa Nini nijitese na macbook. Wakati Mambo ni simple
 
Kwaio Mkuu TECNO sio TECNO kumbe
View attachment 1270642View attachment 1270643


Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.

Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!

Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.

Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.

Manup!!![/b]
Basi mi natamka mdogo mdogo TECNO NI iPHONE tena 11 Pro
 
Haziko sawa hizo simu.
Sikiliza, mimi siyo kwamba ni maskini, ninachojali je simu ina functions zote ninazohitaji, je simu iko fast, je simu inatunza charge, je nikipiga simu nikalinganisha na wa Sumsung na iPhone tuko sawa? nikiona tuko sawa ya nini kununua iPhone ambayo inachagua baadhi ya apps?
 
Ficha upumbavu wako hakuna milionea anayetumia tecno
Wewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukeni
 
Siwezi kununua tecno maisha yang yote yaliyobaki nmeshanunua sana na kutumia sana ila tangu nmejua simu nzur ina sifa zipi sigusi tecno waka simu yoyote ya mediateck labda unipe buree sio nitoe hera yangu ni shida zinastaki sana hata kama huna vuti wala apps nyingi, zina zima zima. Ovyoo, zina adinka not respond kila mtu, mata over nn sjui, ni nzito kama uji wa magimbi mtumiaji wa tecno au simu za mediateck vidole vyake vigumu kwa ajili ya sugu ya kutumia cm .... heee shida zote hizo za nn sasa
Mkuu, sio Mediatek zote ni mbovu asee, kuanzia Helio P60 na hii mpya G90 ni nzuri asee!!
Japo kati ya hizo Tecno hajatumia hata moja
 
Sikiliza, mimi siyo kwamba ni maskini, ninachojali je simu ina functions zote ninazohitaji, je simu iko fast, je simu inatunza charge, je nikipiga simu nikalinganisha na wa Sumsung na iPhone tuko sawa? nikiona tuko sawa ya nini kununua iPhone ambayo inachagua baadhi ya apps?
Tofauti na security na operating system, iphone ni sawa na tecno
 
Refurbished nyingi ni majanga sugu.

Niliwahi kununua Xiomi Redmi5 refub.

Kila muda watakiw utembee na power bank,
Na ukiichaji kidogo tu inashika joto utadhani ni pasi.
Ulikosea sana kuagiza refurb phone toka china/asia.refurb agizia ulaya(amazon,ebay) ndo utadumu nayo
 
Lakini ndo simu mbovu kuwahi kutokea balaa mtu akinunua tecno ya laki 3 au 4 na mwingine a kanunua Samsung ya laki 3 au 4 hivo hivo wa tecno atapata taabu sana huku wa Samsung akila raha mterezo kwa iyo sio kwamba tecno zote ni za bei rahis no zingine ni ghali ila ubira sifuri yaani kiufupi tecno wanatuibia kikawaida tecno hamna hata simu 1 waliyotakiwa kuuza hata laki 2½ ikiwemo hiyo wanayoiitwa phantom, wala camon 12 hamna kitu

Hakuna simu kama tecno dunia hii nitajie simu yoyote ya samsung unayoweza kulinganisha camera na tecno cm au tecno k7 au simu yoyote ya Samsung yenye kioo bora kuizidi tecno cm
 
Back
Top Bottom