Kero ya Muungano iliyotatuliwa ndani ya mwaka mmoja

Nilishangaa sana hata TBC siku ya Uhuru Tanganyika wanaandika " SHEREHE ZA UHURU"
Wanakwepa neno Tanganyika.
Mwenge wa Uhuru ama kweli umetupumbaza Wadanganyika. Nchi mbili zinaungana na kubakia na serikali mbili zinazotambulika ndani ya muungano!
 
Back
Top Bottom