KERO: Wanaume waliooa kusumbua wadada ambao wapo 'single' wanaoishi jirani

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Jamani unamkuta mtu anamke nampo geti moja anakusumbua kama mke wake ni mwanaume inakera hajui kuwa hata wewe huna mpango naye.

Nachukia ukiwa unapiga starehe zako unasikia hujambo umemkaje?

Mama hajambo?

Unaenda wapi nikusindikize?

Huhitaji kampani weekend?

Nani kasema mtu yeye anataka usumbufu mtu akiwa analipaga kodi kama mimi ileile ni ngumu kumkubali jamani tena kaoa ni dhambi kutesa familia ya mtu kisa nini?

Hata leo kaniona tu huyo naye katoka, kazi ipo mke wake ananinunia bila sababu hiyo na sinaga muda na waume za watu.

Kama wanaume wapo kama hao hapa acheni kutesa wadada single tena wale wanaoishi karibu yenu nini ambacho hamridhiki kwa wake zenu nini? Ila kuna wengine wanapenda na wanakubali wanavuruga familia za watu.
 
Mama achana na waume za watu. Nipe nafasi mimi single mwenzako.

Waume za watu wote wablock na usiwape namba yako ya sim. Hata wakikusalimia usiitike .
 
Kwahiyo kabla ya kumkubali mtu unaomba akuonueshe mkataba wake wa nyumba uone kodi kiasi gani?
 
Jamani unamkuta mtu anamke nampo geiti moja anakusumbua kama mke wake ni mwanaume inakeraga hajui kuwa hata wewe huna mpango naye.
Nachukia ukiwa unapika nastarehe zakoo unasikia hujambo umemkaje?
Mama hajambo ?
Unaenda wapi nikusindikize ?
Huitaji kampani weekend ?
Nani kasema mtu yeye anataka usumbufu mtu akiwa analipaga kodi kama mimi ileile ni ngumu kumkubali jamani tena kaoa ni dhambi kutesa familia ya mtu kisa nini?
Hata leo kaniona tu huyo naye katoka, kazi ipo mke wake ananinunia bila sababu hij ni kaziii sinaga muda na waume za watu.
Kama wanaume wapo kama hao hapa acheni kutesa wadada single tena wale wanaoishi karibu yenu nini ambacho hamridhiki kwa wake zenu nini?
Ila kuna wengine wanapenda na wanakubali wanavuruga familia za watu
Mama watoto
 
Unadhani sina ninachoo ndio maana najiheshimu nisije achiika kuachwa ni shughuli pevuu.
Au nikupe namba zake ogopa nimetulizwa already .
Nampenda ananipendaaaaa.
 
Jamani unamkuta mtu anamke nampo geiti moja anakusumbua kama mke wake ni mwanaume inakeraga hajui kuwa hata wewe huna mpango naye.
Nachukia ukiwa unapika nastarehe zakoo unasikia hujambo umemkaje?
Mama hajambo ?
Unaenda wapi nikusindikize ?
Huitaji kampani weekend ?
Nani kasema mtu yeye anataka usumbufu mtu akiwa analipaga kodi kama mimi ileile ni ngumu kumkubali jamani tena kaoa ni dhambi kutesa familia ya mtu kisa nini?
Hata leo kaniona tu huyo naye katoka, kazi ipo mke wake ananinunia bila sababu hij ni kaziii sinaga muda na waume za watu.
Kama wanaume wapo kama hao hapa acheni kutesa wadada single tena wale wanaoishi karibu yenu nini ambacho hamridhiki kwa wake zenu nini?
Ila kuna wengine wanapenda na wanakubali wanavuruga familia za watu
Kama yuko single Je ?
 
Back
Top Bottom