Kero tunazokutana nazo watumiaji wa usafiri wa daladala

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Itifaki izingatiwe.
Kwa wale wenzangu na mie tunaotumia usafiri wa daladala,ni kero gani mnazokumbana nazo.? Binafsi huwa nachoshwa sana na abiria wanaopiga simu kwa sauti huku wakieleza matatizo ya ndani kwao. Utafikiri hawatashuka jamani.
 
kuna watu huwa hawapigi miswaki halafu ni asubuhi gari imejaza akiongea mntamani kufa kabisa wengine wanabeba ndoo za dagaa haijulikani dagaa wameoza au laa nk kero ni nyingi sana kwenye usafiri wa umma
 
1. Kero yangu kwa abiria wenzangu, mtu anajua makwapa yake hajanyoa na yanatoa harufu then anakuwekea kwapa lake usoni, harufu inayotoka hapo waweza tapika.

2. Wale wadada wanaojijua wana mizigo [In shekhe Kipoozeo's voice] then anakuwekea mbele yako wakati we ni mwanaume majaribu haya.

3. Konda kuvaa miguo mingi tena yote michafu, utafikiri alilala jalalani na amekurupushwa kukaa kwenye gari.

4. Natext na mtu kwenye simu yangu unakuta mtu yuko jirani yako anachungulia unachoandika.

5. Nyote mmesimama, utakuta upo wewe na mdada, unamwambia asogee ye anakutegeshea kiuno kama vile anataka umpige dushe [ndio maana huwa nawatongoza na nawapiga dushe kweli.

6. Unakuta mtu kavaa kiheshima lakini anatoa kauli mbovu kabisa.

7. Mitusi ya konda na abiria wakizinguana.

8. Unajikuta unamuona mzee unaamua kumsaidia kumpa siti akae, linatokea jinga from nowhere linakaa yeye, ndio maana huwa nayapa mingumi ya uso.

Dah yapo mengi sana ila kwa muda huu naishia hapo.
 
Mie kubambiwa na kudindishiwa kwenye makalio yangu.
Unasimama...nyuma yako jibaba limesimamisha kabisa halafu anakugusagusa na uume wake uliosimama barabara.
Sipendiiiii
 
1. Kero yangu kwa abiria wenzangu, mtu anajua makwapa yake hajanyoa na yanatoa harufu then anakuwekea kwapa lake usoni, harufu inayotoka hapo waweza tapika.

2. Wale wadada wanaojijua wana mizigo [In shekhe Kipoozeo's voice] then anakuwekea mbele yako wakati we ni mwanaume majaribu haya.

3. Konda kuvaa miguo mingi tena yote michafu, utafikiri alilala jalalani na amekurupushwa kukaa kwenye gari.

4. Natext na mtu kwenye simu yangu unakuta mtu yuko jirani yako anachungulia unachoandika.

5. Nyote mmesimama, utakuta upo wewe na mdada, unamwambia asogee ye anakutegeshea kiuno kama vile anataka umpige dushe [ndio maana huwa nawatongoza na nawapiga dushe kweli.

6. Unakuta mtu kavaa kiheshima lakini anatoa kauli mbovu kabisa.

7. Mitusi ya konda na abiria wakizinguana.

8. Unajikuta unamuona mzee unaamua kumsaidia kumpa siti akae, linatokea jinga from nowhere linakaa yeye, ndio maana huwa nayapa mingumi ya uso.

Dah yapo mengi sana ila kwa muda huu naishia hapo.

Mmh una maisha magumu kweli.
 
Mie ni mtumiaji mzuri sana wa daladala bado sijafanikiwa kupata kausafiri,Kero Kubwa kwangu hizi:-
1.Wadada/Wamama kupenda kukaa Dirishani halafu wanafunga madirisha ili nywele zao zisitibuke wakati ndani kuna joto la kufa mtu.

2.Mtu Hataki kusogea nyuma utafikiri amegongelewa na Ribiti wakati nyuma kuna nafasi za kutosha.

3.Mtu Kujitanua kwenye siti kwa kutanua miguu mwaaa hana wasiwasi wakati wewe huku umekalia upaja mmoja while mwingine upo hewani.

4.Mtu kuingia na Mbonge wa Mbegi kauweka mgongoni badala ya kuuweka kwenye carriers hivyo anazuia nafasi za watu wengine na kujikuta unabanana na mbegi wake.

5.Makonda/Bashite wao wanatujaza tu kwenye gari hadi unakosa hewa ili mradi wao wasiache abiria.
 
Hii nadhani itakuwa ni kero yetu wengi.

Harufu za KIBABE asubuhi
 
Back
Top Bottom