Kero: TRA kuchelewa kwenye mnada wa vitu vya Marekani

hiyo V8 umenunua shilingi ngapi manake mijitu mingine inaweza kununua v8 iliyotumiwa na mzungu miaka 10 kwa shilingi millioni 80 wakati V8 brand new ni shilling millioni 85 kisa kimetumiwa na mzungu wa ubalozi wa marekani upuuzi huo
Ndio maana kawaita wa shamba nyie wakuja Dar kama mimi.
V8 siyo Corolla unayotumia!!!!
Tafuta V8 ya MIAKA KUMI, na kama utaipata chini ya Tshs milioni 100 nijulishe iko wapi, achilia mbali V8 mpya!
Usiongee usichokijua, wanaojua kwamba hujui wanakucheka sasa hivi!
 
Ndio maana kawaita wa shamba nyie mijitu ya kuja Dar kama mimi.
V8 siyo Corolla unayotumia!!!!
Tafuta V8 ya MIAKA KUMI, na kama utaipata chini ya Tshs milioni 100 nijulishe iko wapi, achilia mbali V8 mpya!
Usiongee usichokijua, wanaojua wanajua hili jamaa zuzu!
Tatizo lenu mkisikia kitu kimetumiwa na mzungu mnakiabudu sana badilikeni watanzania,mzungu mwenyewe amekichoka anakiuza nyie mnaenda kukigombea aibu sana
 
Hiyo Passo unayoiendesha ni mpya?
Na mkeo ulimkuta ni bikra?
Watanzania tubadilike tuachanae na kununua uchafu kisa umetumiwa na mzungu huwezi kutumia akili kidogo hichi kitu mzungu kakitumia kakichoka anatafuta namna ya kukidispose ,wewe unaenda kukinunua tena saa 12 asubuhi jinaume zima umeacha familia yako eti unaenda kununua takataka zilitotupwa na wazungu kwa bei zaidi ya mpya dukani eti bila aibu unajitetea kitakua kwenye quality wakati hiyo quality unayotaka mzungu keshaitumia mpaka ikawa low quality anaitupa sasa wewe unaikimbilia upuuzi sana huo,watakua wanatuona watz watu wa ajabu sana
 
Nimeamua kucheka tu jinsi jamaa unavokazana kujidefend uko sawa kwa upande flani ila ukweli ni kuwa baadhi ya product toka euro hata kama ni used huwezi linganisha thamani yake na ubora dhidi ya hivi vya kwetu aidha unaweza vipata lkn kwa bei ghali sana au hata kwa bei kubwa bado usivipate huu ni ukweli usiopingika kabisa mkuu
 
Mkuu nakazana kudefend kwa sababu naona mnapotea kabisa, ngoja nikuulize swali manake naona hamnielewi labda kwa sababu naongea katika high level mpaka mnakua hamnielewi,unajua kwa nin hao wazungu wa ubalozi wa marekani wameamua kudespose hivyo vitu?Jibu hilo swali kwanza
 
Mkuu hiyo ndio siri wasioielewa watu ambao hawaijui.
 
Usijiweke kuwa una akili sana, kwanza tuambie mantiki ya kuagiza Japan na kuendesha Passo ya 2005!
Kwa ninavyokukadiria sidhani kama una uwezo wa kuwa na hata 4WD ya mwaka huo huo.
 
Mkuu nakazana kudefend kwa sababu naona mnapotea kabisa, ngoja nikuulize swali manake naona hamnielewi labda kwa sababu naongea katika high level mpaka mnakua hamnielewi,unajua kwa nin hao wazungu wa ubalozi wa marekani wameamua kudespose hivyo vitu?Jibu hilo swali kwanza
Kweli wewe zuzu pumba tu unaandika.
 
Kweli wewe zuzu pumba tu unaandika.
Mkuu wewe unaonekana ukipelekwa America utakua unazunguruka kwenye majalala unatafuta vitu mbali mbali vilivyotupwa na wazungu ukiamini vina ubora,shida sana aiasee
 
20171021_111030-jpg.613715

Bado ninyi mijitu ya kuja mna shiiida!!!
Hapo kwenye picha tafuta godoro!!
hiyo V8 umenunua shilingi ngapi manake mijitu mingine inaweza kununua v8 iliyotumiwa na mzungu miaka 10 kwa shilingi millioni 80 wakati V8 brand new ni shilling millioni 85 kisa kimetumiwa na mzungu wa ubalozi wa marekani upuuzi huo
Ishu ni kwamba Bidhaa zinazotoka China zinatofautiana ubora kutokana na Mataifa yanayoenda kuuzwa. Vitu vya Mchina Vinavyouzwa Marekani, Ulaya na Mataifa mengine ya Ulaya ni tofauti na Vinavyoletwa Tz au East Africa. Pia Vinavyouzwa South Africa na Nigeria na Misri ni bora zaidi ya tunavyouziwa Wabongo kutokana na kipato chetu.
Hivyo ndiyo maana watu hupenda kununua second hand za Ubalozini ni imara na havitumiki hadi kuchanika kama unavyodai, isitoshe vinafanyiwa service za ukweli. Tupende kujifunza vitu vipya siyo kubisha tu mkuu.
 
Siri wakati mnadanganyana tu wewe kitu ameshatumia mzungu anakitupa sasa unasema kina ubora,ubora gani huo takataka tu hizo
Una kasumba za kijinga!
Kama nilivosema umeingia mjini bila hodi.
Waswahili walisema "ganda la muwa la jana chungu kaliona kipato"
Wainhereza wakamalizia" let sleeping dogs lie"

Halafu njoo mtaani ushangae kwa nini jenereta used la US ni mali zaidi kuliko jipya ulilolinunua kwa Kanjibai.

Hela ni yako, tumia kama unavyopenda, tuachie wa mjini tupige mahesabu makali.
 
Mkuu nakazana kudefend kwa sababu naona mnapotea kabisa, ngoja nikuulize swali manake naona hamnielewi labda kwa sababu naongea katika high level mpaka mnakua hamnielewi,unajua kwa nin hao wazungu wa ubalozi wa marekani wameamua kudespose hivyo vitu?Jibu hilo swali kwanza
Mkuu hebu ngoja na mimi nikuulize swali,, wewe nguo zako zote unazovaa ni spesho??? Naomba nijibu na mimi hili swali kwanza!
 
Una kasumba za kijinga!
Kama nilivosema umeingia mjini bila hodi.
Waswahili walisema "ganda la muwa la jana chungu kaliona kipato"
Wainhereza wakamalizia" let sleeping dogs lie"

Halafu njoo mtaani ushangae kwa nini jenereta used la US ni mali zaidi kuliko jipya ulilolinunua kwa Kanjibai.

Hela ni yako, tumia kama unavyopenda, tuachie wa mjini tupige mahesabu makali.
Ha ha haaa mkuu usipanic tuliza munkari twende kwa hoja
 
Ishu ni kwamba Bidhaa zinazotoka China zinatofautiana ubora kutokana na Mataifa yanayoenda kuuzwa. Vitu vya Mchina Vinavyouzwa Marekani, Ulaya na Mataifa mengine ya Ulaya ni tofauti na Vinavyoletwa Tz au East Africa. Pia Vinavyouzwa South Africa na Nigeria na Misri ni bora zaidi ya tunavyouziwa Wabongo kutokana na kipato chetu.
Hivyo ndiyo maana watu hupenda kununua second hand za Ubalozini ni imara na havitumiki hadi kuchanika kama unavyodai, isitoshe vinafanyiwa service za ukweli. Tupende kujifunza vitu vipya siyo kubisha tu mkuu.
Mkuu nakubaliana na wewe umeanza vizuri lakini ulipomalizia ndio umeingia chaka,huwezi kuniambia unaenda kununua uchafu uliotupwa na mzungu baada ya kuutumia akauona haufai ndio useme unaubora ubora gani huo huko ni kudanganyana ndio maana hapo juu nikawauliza kuwa mkipelekwa America mtaenda kwenye majalala kutafuta vitu vilivyotupwa na mzungu mkiamini vina ubora
 
Back
Top Bottom