Kero TCRA: Wananchi wengi hawajui sababu za kuhama mtandao

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Hivi karibuni tumesikia kuwa kuna utaratibu wa kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine ukitumia Namba ileile, kwa kweli mimi binafsi sijui sababu za msingi za kuhamia mtandao mwingine,

Ninawaomba sana wahusika wa TCRA waelezee umma faida za huo utaratibu na hasara zake. Je endapo nimeridhika na utaratibu wa kumiliki namba tofauti za mitandao tofauti (nikibaki na utaratibu niliozoea) je nitaathirika kwa kiasi gani? Utaratibu huu una lengo gani na una faida gani kwa mtumiaji au serikali?

Namba wakati mwingine huwa zinafanana na hutofautishwa na aina ya mtandao je ikitokea mtu mmoja anatoka mtandao mmoja na kuhamia mwingine ambako kuna mtu anayemiliki namba inayofanana ambayo ilikuwa ikitofautishwa na namba za mwanzo je uhamaji huu hautasababaisha mwingiliano wa mawasiliano?

Mimi binafsi na watu kadhaa niliojaribu kuwauliza wengi hawajui kitu gani kinaendelea. TCRA pamoja na mashirika ya simu hebu tuambieni ni kitu gani hiki?
 
Honestly hata mimi sielewi kinachoendelea kuhusu hili jambo
Mfano una namba yako ina zaidi ya miaka mitano hata saba, ni tigo.
watu wengi wanaifahamu.
Wateja wako wa ndani na nje ya nchi wanaifahamu hiyo namba.
Unaona tigo inakuzingua siku zote uwa unatamani kuhamia mtandao mwingine lakini unachelea kuhama kwakuwa watu wengi wanaijua hiyo namba na una wateja unahisi unaweza wapoteza kwa kuhama.
So TCRA kwa hii huduma unaweza badilisha hiyo namba ikawa voda au halotel au smart n.k pasipo kubadili hata tarakimu moja itabaki vile vile.
Mfano wake ndiyo huo..
 
Mngelisoma bachelor ya Telecommunications Engineering UDSM.

Then mkaenda kuchukua Postgraduate diploma ya Computer Science with Business Information Copenhagen Denmark

Mwisho mkamalizia na degree ya Upadri nchini Uholanzi kama mimi...

Nadhani msingeuliza maswali hayo!!

Wangeuliza maswali gani? Na majibu ya hayo maswali yangekuwa yapi? Halafu, je woooote tungesoma kama wewe division of labour na specialization ingekuwaje?
 
Mfano una namba yako ina zaidi ya miaka mitano hata saba, ni tigo.
watu wengi wanaifahamu.
Wateja wako wa ndani na nje ya nchi wanaifahamu hiyo namba.
Unaona tigo inakuzingua siku zote uwa unatamani kuhamia mtandao mwingine lakini unachelea kuhama kwakuwa watu wengi wanaijua hiyo namba na una wateja unahisi unaweza wapoteza kwa kuhama.
So TCRA kwa hii huduma unaweza badilisha hiyo namba ikawa voda au halotel au smart n.k pasipo kubadili hata tarakimu moja itabaki vile vile.
Mfano wake ndiyo huo..

Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Asante kwa ufafanuzi,lakini swali lingine ni hili,kule nnakohamia hakutakua na muingiliano wa mawasiliano? Mf. Namba yangu ya tigo ni 07130000,nataka kuhamia voda ambako kuna mtu ana the same namba kasoro mtandao tu,me ni tgo na yey ni voda,hakutakua na muingiliano? Au voda watalazimika kuisoma namba yangu km ilivyo pasipo kubadilisha namba za mwanzo km 0755........
 
Wataisoma kama ilivyo mkuu.
 
Hio ni poa sana.... Itawashikisha adabu mashirika ya simu yaliyokuwa yanafanya wateja wao watumwa... Maana walikuwa wanatumia hio advantage kutoa huduma mbovu na kuona kwamba wateja hawatohama kwa sababu namba zao zimezoeleka... Sasa mtandao ukileta Ujinga Kama tigo unahama fasta.
 
Asante kwa ufafanuzi,lakini swali lingine ni hili,kule nnakohamia hakutakua na muingiliano wa mawasiliano? Mf. Namba yangu ya tigo ni 07130000,nataka kuhamia voda ambako kuna mtu ana the same namba kasoro mtandao tu,me ni tgo na yey ni voda,hakutakua na muingiliano? Au voda watalazimika kuisoma namba yangu km ilivyo pasipo kubadilisha namba za mwanzo km 0755........
Namba inabaki hivyo hivyo na code zake za tigo hakuna kinachobadilika so haiwezekan akawepo mtu mwenye namba kama yako zitatofautiana code ya mwanzo kama yupo
 
Binafsi nafikiria kubadilisha kutoka Vodacom kwasababu mahali ninapoishi intaneti iko chini sana. Shida nawaza tu ile M-Pesa.
 
Hivi karibuni tumesikia kuwa kuna utaratibu wa kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine ukitumia Namba ileile, kwa kweli mimi binafsi sijui sababu za msingi za kuhamia mtandao mwingine,

Ninawaomba sana wahusika wa TCRA waelezee umma faida za huo utaratibu na hasara zake. Je endapo nimeridhika na utaratibu wa kumiliki namba tofauti za mitandao tofauti (nikibaki na utaratibu niliozoea) je nitaathirika kwa kiasi gani? Utaratibu huu una lengo gani na una faida gani kwa mtumiaji au serikali? Namba wakati mwingine huwa zinafanana na hutofautishwa na aina ya mtandao je ikitokea mtu mmoja anatoka mtandao mmoja na kuhamia mwingine ambako kuna mtu anayemiliki namba inayofanana ambayo ilikuwa ikitofautishwa na namba za mwanzo je uhamaji huu hautasababaisha mwingiliano wa mawasiliano?

Mimi binafsi na watu kadhaa niliojaribu kuwauliza wengi hawajui kitu gani kinaendelea. TCRA pamoja na mashirika ya simu hebu tuambieni ni kitu gani hiki?
Inabidi tulipeleke hili suala ITV liwe kipimajoto lisomeke hivi.....

"Kuanzishwa kwa huduma ya kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine bila kubadili namba, je watanzania wameelimishwa vya kutosha?

Namba inabaki hivyo hivyo na code zake za tigo hakuna kinachobadilika so haiwezekan akawepo mtu mwenye namba kama yako zitatofautiana code ya mwanzo kama yupo
Nimeona nikituma sms kwenda tigo, airtel na halotel kuna code za +202, +205, +209 zikifuatiwa na namba ya mpokeaji wa sms kwenye delivery report. Mfano tigo inakuwa +2027130000 badala ya +2557130000 au airtel inakuwa +2057880000 badala ya +2557880000 au halotel inakuwa +2096220000 badala ya +2556220000, ndiyo huo utaratibu mpya ulioanza kutumika au imekuwaje?
 
Asante kwa ufafanuzi,lakini swali lingine ni hili,kule nnakohamia hakutakua na muingiliano wa mawasiliano? Mf. Namba yangu ya tigo ni 07130000,nataka kuhamia voda ambako kuna mtu ana the same namba kasoro mtandao tu,me ni tgo na yey ni voda,hakutakua na muingiliano? Au voda watalazimika kuisoma namba yangu km ilivyo pasipo kubadilisha namba za mwanzo km 0755........
Mkuu! Namba yako Tanzania ni moja tu; hakuna hata mmoja mwenye nambs kama yako hata huko mitandao mingine
 
Back
Top Bottom