Kero TCRA: Wananchi wengi hawajui sababu za kuhama mtandao

Mimi ni makini na usiniletee janja ya nyani! Hukum-quote huyo mtu unayesema, na ndio maana umerudi kufuta post yako!
Narudia kusema kaangalie vizuri umedandia treni kwa mbele braza.
Ningefuta nikamquote tena ina maana ingekuja chini ya post yako uliyo ni quote lakini bado iko pale pale.
Umedandia treni kwa mbele braza kubari tu kuwa muungwana hakutokufanya uonekane dhaifu.
 
Hii ndio post yenyewe:

Mr. MTUI said:
Hamna tofauti kubwa zaidi ya kuweza kutumia chip moja na kubadili namba upendavyo..

Na wewe ukaongezea:
Kama kweli ni hivyo it doesnt make any sense at all

Conclusion: Ina maana huna uhakika na kitu ulichoelezea mwanzoni hivyo umekubaliana na mchangiaji kuwa ''Kama kweli ni hivyo it doesnt make any sense at all''. Ndio mimi nikakuelesha1
 
Mara unasema sija mquote mara unasema nimefuta sasa umebadilisha umekuja kivingine.
Kubari tu kuwa umedandia treni kwa mbele braza haikufanyi wewe kuwa dhaifu ni uungwana tu..
 
Kwa kifupi hakutakuwa tena na code namba za Voda, Tigo au Halotel. Unahama na namba yako kama ilivyo. Kama ulikuwa na namba ya Tigo na inaanzia na 071 ukienda Voda itaendelea kuanza na hizo hizo 017. Faida yake ni kuwa kuna watu wenye namba ambazo wamezitumia muda mrefu na wana nia ya kuhama mtandao lakini wanakwamishwa na kubadilisha namba ambayo wanaipenda na imeshazoeleka na watu wake wengi. Hapo wana uwezo wa kuhama na kuendlea kutumia ile ile namba (eg ya Tigo).
Mkuu mimi nasema hv huo mhamo hauna tija yoyote kwa kuwa sasa hv watu hatuhami mtandao jumla ila tunakuwa na laini nyingi huku tukisikilizia upepo. Kwa mfano, unakuwa na laini 3 lakini labda unatumia zaidi mtandao wa voda huku tigo ikibaki kupokea simu zinazoingia tu. Siku voda wakizingua unahamia tigo tena voda inabaki ya kupokea incoming calls tu.

Hizi mbwembwe za kubadili namba zingekuwa na maana zaidi kama zingeanza enzi zile za simu ya laini moja....kwamba badala ya mtu kuwa na simu 4 unanunua simu moja unakuwa unahama tu. Sasa hivi kuna simu zinapokea hadi laini 4...unahama ili iweje, si unanunua simcards zako 4 unasokomeka zote kwenye simu moja?
 
Mara unasema sija mquote mara unasema nimefuta sasa umebadilisha umekuja kivingine.
Kubari tu kuwa umedandia treni kwa mbele braza haikufanyi wewe kuwa dhaifu ni uungwana tu..
Ni kweli niliangalia vibaya uli-quote. Lakini haijalishi kuwa ulishindwa kutoa maelezo ya kumwelesha vizuri ikawa kama mtu ambaye hajui na ameungana nae! BTW kubari = Kubali
 
Mkuu mimi nasema hv huo mhamo hauna tija yoyote kwa kuwa sasa hv watu hatuhami mtandao jumla ila tunakuwa na laini nyingi huku tukisikilizia upepo. Kwa mfano, unakuwa na laini 3 lakini labda unatumia zaidi mtandao wa voda huku tigo ikibaki kupokea simu zinazoingia tu. Siku voda wakizingua unahamia tigo tena voda inabaki ya kupokea incoming calls tu.

Hizi mbwembwe za kubadili namba zingekuwa na maana zaidi kama zingeanza enzi zile za simu ya laini moja....kwamba badala ya mtu kuwa na simu 4 unanunua simu moja unakuwa unahama tu. Sasa hivi kuna simu zinapokea hadi laini 4...unahama ili iweje, si unanunua simcards zako 4 unasokomeka zote kwenye simu moja?
Una faida..
Kuna watu wana namba wanazitumia kwa biashara na ndizo zinafahamika kwa miaka mingi assume network ya mtandao aliopo inasumbua au huduma zao ni expensive anataka ahamie mtandao mwingine kwa namba ile ile asipoteze wateja wake...
Hii ndiyo solution atahama na nado ataendelea kupatikana kwa namba ile ile
 
Na mimi nakubariana (nina mashaka kama ni l badala ya r) na wewe kuwa kwa jinsi nilivyo mquote imekuwa kama sina hakika na nilichosema...
Naunga mkono hoja ulikuwa sawa kuhisi sina uhakika wa nianchosema.
Pamoja sana...
 
Mkuu mimi nasema hv huo mhamo hauna tija yoyote kwa kuwa sasa hv watu hatuhami mtandao jumla ila tunakuwa na laini nyingi huku tukisikilizia upepo. Kwa mfano, unakuwa na laini 3 lakini labda unatumia zaidi mtandao wa voda huku tigo ikibaki kupokea simu zinazoingia tu. Siku voda wakizingua unahamia tigo tena voda inabaki ya kupokea incoming calls tu.

Hizi mbwembwe za kubadili namba zingekuwa na maana zaidi kama zingeanza enzi zile za simu ya laini moja....kwamba badala ya mtu kuwa na simu 4 unanunua simu moja unakuwa unahama tu. Sasa hivi kuna simu zinapokea hadi laini 4...unahama ili iweje, si unanunua simcards zako 4 unasokomeka zote kwenye simu moja?
Ni kweli ulivyosema. Lakini bado kuna watu wengi watafaidika vilevile. Hasa wale ambao wana uwezo na hawajali anampigia mtu wa mtandao gani. Halfu kingine. Mambo yanabadilika. Leo sio jana. Nina uhakika itafika siku hii barrier ya cost ya kupiga mtandao mmoja kwenda mwingine walioweka haya makampuni itavunjwa!
 
Inabidi tulipeleke hili suala ITV liwe kipimajoto lisomeke hivi.....

"Kuanzishwa kwa huduma ya kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine bila kubadili namba, je watanzania wameelimishwa vya kutosha?

Majibu yake sasa.... Ndiyo,hapana,sijui.
 
Ni kweli ulivyosema. Lakini bado kuna watu wengi watafaidika vilevile. Hasa wale ambao wana uwezo na hawajali anampigia mtu wa mtandao gani. Halfu kingine. Mambo yanabadilika. Leo sio jana. Nina uhakika itafika siku hii barrier ya cost ya kupiga mtandao mmoja kwenda mwingine walioweka haya makampuni itavunjwa!
mkuu mimi nasema hili suala halitakuwa na manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida. chukulia kwa mfano umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda halafu mtu unayetaka kumpigia anatumia laini ya tigo. ukibadili laini yako ikawa ya tigo kile kifurushi hakitahama...bado utaendelea kukamuliwa tu...unless umwambie unayetaka kumpigia abadili laini yake iwe ya voda, jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na ukute hajui kubadili laini.

au unaweza ukawa umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda ukataka kumpigia mtu anayetumia laini ya voda kumbe wakati unampigia tayari ameishahamia mtandao mwingine. hivyo, utaishia kuliwa hela zako bila shuruti. nakuambia watakaonufaika zaidi na 'usanii' huu wa kuhama ni makampuni ya simu.
 
Una faida..
Kuna watu wana namba wanazitumia kwa biashara na ndizo zinafahamika kwa miaka mingi assume network ya mtandao aliopo inasumbua au huduma zao ni expensive anataka ahamie mtandao mwingine kwa namba ile ile asipoteze wateja wake...
Hii ndiyo solution atahama na nado ataendelea kupatikana kwa namba ile ile
mkuu hv unajua masharti ya kuhama yatakuwa magumu kiasi gani? unadhani unaweza kuhama leo saa 5 ikifika saa 7 urudi mtandao wa awali? la hasha! masharti ya kuhama yatakuwa magumu sana. sioni tija ya mhamo huu kwa wananchi wa kawaida.

mkuu chukulia kwa mfano umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda halafu mtu unayetaka kumpigia anatumia laini ya tigo. ukibadili laini yako ikawa ya tigo kile kifurushi hakitahama...bado utaendelea kukamuliwa tu...unless umwambie unayetaka kumpigia abadili laini yake iwe ya voda, jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na ukute hajui kubadili laini.

au unaweza ukawa umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda ukataka kumpigia mtu anayetumia laini ya voda kumbe wakati unampigia tayari ameishahamia mtandao mwingine. hivyo, utaishia kuliwa hela zako bila shuruti. nakuambia watakaonufaika zaidi na 'usanii' huu wa kuhama ni makampuni ya simu.
 
mkuu mimi nasema hili suala halitakuwa na manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida. chukulia kwa mfano umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda halafu mtu unayetaka kumpigia anatumia laini ya tigo. ukibadili laini yako ikawa ya tigo kile kifurushi hakitahama...bado utaendelea kukamuliwa tu...unless umwambie unayetaka kumpigia abadili laini yake iwe ya voda, jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na ukute hajui kubadili laini.

au unaweza ukawa umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda ukataka kumpigia mtu anayetumia laini ya voda kumbe wakati unampigia tayari ameishahamia mtandao mwingine. hivyo, utaishia kuliwa hela zako bila shuruti. nakuambia watakaonufaika zaidi na 'usanii' huu wa kuhama ni makampuni ya simu.
Mkuu usidhani unabadili tu kiholela.
Ukitaka kubadili mfano toka tigo kwenda voda, utaenda voda utajaza form nao watapeleka tcra, tcra wahakikishe kuwa hudaiwi na tigo, pesa yako ndani ya tgo pesa umeitoa yote ndipo watakukubaria.
Sasa wewe kama umejiunga kifurushi unajua unacho ukaamua kubadili mtandao si umeamua mwenyewe tu..
 
mkuu hv unajua masharti ya kuhama yatakuwa magumu kiasi gani? unadhani unaweza kuhama leo saa 5 ikifika saa 7 urudi mtandao wa awali? la hasha! masharti ya kuhama yatakuwa magumu sana. sioni tija ya mhamo huu kwa wananchi wa kawaida.

mkuu chukulia kwa mfano umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda halafu mtu unayetaka kumpigia anatumia laini ya tigo. ukibadili laini yako ikawa ya tigo kile kifurushi hakitahama...bado utaendelea kukamuliwa tu...unless umwambie unayetaka kumpigia abadili laini yake iwe ya voda, jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na ukute hajui kubadili laini.

au unaweza ukawa umejiunga kifurushi cha voda kwenda voda ukataka kumpigia mtu anayetumia laini ya voda kumbe wakati unampigia tayari ameishahamia mtandao mwingine. hivyo, utaishia kuliwa hela zako bila shuruti. nakuambia watakaonufaika zaidi na 'usanii' huu wa kuhama ni makampuni ya simu.
Najua inachukua muda na kurudi mtandao ukishahama ni baada ya miezi mitatu.
Kwa hiyo ni kwa mtu ambaye ana shida kweli ya kuhama siyo sawa na kununua line na ninajua kuna watu wako serious wangependa kuhama ila uwa wanahofia kubadili namba hasa wafanya biashara.
 
Mkuu usidhani unabadili tu kiholela.
Ukitaka kubadili mfano toka tigo kwenda voda, utaenda voda utajaza form nao watapeleka tcra, tcra wahakikishe kuwa hudaiwi na tigo, pesa yako ndani ya tgo pesa umeitoa yote ndipo watakukubaria.
Sasa wewe kama umejiunga kifurushi unajua unacho ukaamua kubadili mtandao si umeamua mwenyewe tu..
ndio maana nimesema kwamba huu mhamo hautakuwa na manufaa yoyote kwa wananchi wa kawaida. kumbe unajua kwamba taratibu zake ni ngumu sasa unasemaje kwamba huu mhamo una manufaa? kwa sasa hv hakuna mwananchi anayetaka kuhama jumla...mtu unakuwa na simu yako ya laini 4 unajaza laini zako mle ahalafu unakuwa unasikilizia upepo. ikiwa uko voda kisha ukaona tigo wameboresha huduma na kushusha gharama zao, you simple switch to tigo simcard...hakuna haja ya kubadilibadili minamba, ya kazi gani? kwa sasa kuna simu zinaingia hadi laini 4...unasumbukia nini kuhama si ununue lain ya simu nne ujaze laini zako mle aukae utulie? halafu na hawa TCRA ni mavilaza sana...wao hupenda tu kushobokea mambo yasiyokuwa na manufaa kwa wananchi.

halafu ukisema kwamba unahama unajuaje kama watu wanaokupigia watakuwa na nafuu ya gharama pindi wanapokupigia kwa mtandao mpya uliohamia? hili suala halikufanyiwa utafiti wa kutosha na TCRA, wamekurupuka tu kama panya anavyokurupuka kutoka kwenye kibuyu.
 
kwa hiyo yako ni ipi?
Wasingeleta mfumo huu au?
Maana atakayeona anaweza kuhama atahama asiyependa ahami..
 
Najua inachukua muda na kurudi mtandao ukishahama ni baada ya miezi mitatu.
Kwa hiyo ni kwa mtu ambaye ana shida kweli ya kuhama siyo sawa na kununua line na ninajua kuna watu wako serious wangependa kuhama ila uwa wanahofia kubadili namba hasa wafanya biashara.
sawa. ngoja tusubiri tuone kama kweli huu mhamo utakuwa na manufaa katika zama hizi ambazo mchina ametengeneza simu zinazoweza kuingia hadi laini 4! nadhani wachina sasa watakuja na teknolojia ya simu zinazoingia hadi laini 10 ili kutupunguzia kadhia hii ya kuhama.
 
Hauwez kuwa mbadala wa line nying lazma line nyingi ziendelee
 
kwa hiyo yako ni ipi?
Wasingeleta mfumo huu au?
Maana atakayeona anaweza kuhama atahama asiyependa ahami..
yangu ni kwamba teknolojia hii imegharimu mabilioni ya fedha za walipa kodi wakati manufaa yake kwa wananchi ni madogo kama mbegu ya haradali. wala mimi sijamzuia mtu kuhama...anayejisikia kuhama na ahame tu ila sidhani kwamba kuna wananchi watakaokuwa tayari kuingia kwenye usumbufu huu wa kuhama badala ya kununua laini zako 4 uzijaze kwenye simu ya mchina ule maisha yako bila usumbufu.
 
Back
Top Bottom