KERO: Tanesco iweje mnakata umeme saa 7 usiku siku chache kabla ya sikukuu?

Lomba

Member
Jul 30, 2015
23
7
Ndugu Wanabodi,

Hii tabia wanayoifanya hawa ndugu zetu imekuwa ni kero sana kwangu. Kwa muda mrefu hawa jamaa hasa zinapokaribia sikukuu maarufu za kidini, huanzisha mgawo wa umeme mida ya usiku mnene. Hivi nnaomba kuwauliza, huwa mnafanya hivyo ili tuibiwe na vibaka wa mifugo?

Ni jambo lisilo siri kwamba matukio ya uhalifu huongezeka sana kipindi cha sikukuu. La kushangaza mgao unaanza ghafla, na hivi nnavyoandika wamekata tangu saa 7 na kuna giza balaa huko nje. Mnataka tuwaeleweje?
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO.....................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
dah jamaa wamekata tena umeme huku kwetu ubungo ase toka usiku.sio fair ase..
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO.....................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Rudisheni umeme usiku wote huu.mnakata mnataka tuvamie na majambazi.jina litaji ila nipo pwani.
 
Back
Top Bottom