KERO: Nimetukanwa na kudhalilishwa na kondakta wa daladala

Mdadamwema.

Senior Member
Aug 7, 2014
150
169
Wakuu heshima kwenu,

Naombeni mnisaidie huyu konda amenidhalilisha sn,mimi ni jinsia KE, nilikuwa natoka kawe naelekra External Mabibo nilikuwa nimepanda daladala ya Kawe to Segerea,,nilikuwa na tiketi yangu mkononi ambayo nimeilipia sh 800 kwa sababu ilinibidi nizunguke na gari kutokana na wingi wa watu waliokuwepo pale Kawe wakielekea Segerea.

Mimi nilienda kupandia kituo cha nyuma ili nizunguke nalo gari kwa ajili ya kupata siti,sasa nimefika external nikawa nashuka huyo konda alikuwa pale mlangoni akaanza kunidai pesa ya nauli

Nikamwambia nimeshakulipa nikawa namwonyesha ticketi hataki hata kuishika yeye anataka pesa akanisukuma nikadondosha chupa yangu ya maji niliyokuwa nimeishika mkononi nikainama kuichukua,nilipoinuka akasema hiyo tiketi nimeikota chini yeye haitambui.

Watu wakajaribu kumwelewesha lakini hakuwasiklizana ikumbukwe kwamba ilikuwa ni giza kwenye saa tatu usiku hapakuwa na namna ya kuokota tiketi chini na giza,basi akanitukana matusi ya nguoni makubwa pale standi kisha akaingia ndani ya gari akaondoka zake.

Nimebaki na ticket yangu mimi kesho nataka nikamripoti kituo cha polisi kwa kunidhalilisha na kunisukuma na kunitukana matusi ya nguoni bila sababu au nitakuwa nimechelewa kwa kesho, ilitakiwa niende muda huo huo?

Mimi sijawahi kwenda polisi ila nataka niende kwa mara ya kwanza walahi ameniudhi sn,simwachi huyu.
 
Huyo konda anaonekana ana stress za maisha..siku nyingine usijibizane na mtu wa namna hiyo...inawezekana majibu yako yalimchochea zaidi..ningekuwa mimi ni wewe ningemuongezea elfu 2000 na nisingedai change..Emotional intelligence inakutaka upotezee hiyo kesi..kuwa na amani..endelea na maisha yako
 
Umehifadhi plat number ya gari dada?
Kama Umehifadhi basi haujachelewa nenda.
Ila hawa watu wadhalilishaji sana na wakorofi km hujawazoea utajikuta warumbana na kila mmoja wao.
Umasikini umewavuruga kichwa.

Ninayo tiketi nimeihifadhi mkuu, yaani nahisi kuonewa na kudhalilishwa kwa hali ya juu,sijuwi kwa sababu aliniona mimi ni mwanamke jamani labda
 
Nendaa ili ajifunze kwanza inabid afajamu mwanamke kumgusa au kumsukuma ni unyanyasaji wa halinya juu sanaa ,na afahamu kuwa hiko kitu kitakusumbua sana akili ww kama mwanamke kukutukana na kukushusha thamani .usidai fidia ila nenda aitwe apewe onyo na aache hiyo tabia chafu isiyokubalika katika jamii kwa udharilishaji wa kijinsia .pole sanaaa
 
aandae na elfu 30 ya mlungula
 
huyo konda anaonekana ana stress za maisha..siku nyingine usijibizane na mtu wa namna hiyo...inawezekana majibu yako yalimchochea zaidi..ningekuwa mimi ni wewe ningemuongezea elfu 2000 na nisingedai change..Emotional intelligence inakutaka upotezee hiyo kesi..kuwa na amani..endelea na maisha yako
Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Nendaa ili ajifunze kwanza inabid afajamu mwanamke kumgusa au kumsukuma ni unyanyasaji wa halinya juu sanaa ,na afahamu kuwa hiko kitu kitakusumbua sana akili ww kama mwanamke kukutukana na kukushusha thamani .usidai fidia ila nenda aitwe apewe onyo na aache hiyo tabia chafu isiyokubalika katika jamii kwa udharilishaji wa kijinsia .pole sanaaa
Nendaa ili ajifunze kwanza inabid afajamu mwanamke kumgusa au kumsukuma ni unyanyasaji wa halinya juu sanaa ,na afahamu kuwa hiko kitu kitakusumbua sana akili ww kama mwanamke kukutukana na kukushusha thamani .usidai fidia ila nenda aitwe apewe onyo na aache hiyo tabia chafu isiyokubalika katika jamii kwa udharilishaji wa kijinsia .pole sanaaa

Ni kweli mkuu yaani inanisumbua kisaikolojia najiuliza inakuwaje mtu anaamua kukudhalilisha wakati anaona una tiketi mkonioni jamani
 
Kufungua kesi inawezekana kabisa unaweza kupata haki yako.
Ila sasa lazima ujue kwamba
1. Utapoteza pesa.
2.Utapoteza muda
Kama upo tayari kwa hayo nakuunga mkono.

Hakuna namna itabidi tu nifungue jamani,amenifanyia vbaya sn ,yaani ungeona jinsi alivyokuwa ananisukuma sukuma pale stand na matusi aliyonitukana jamani wakati mimi nimeshika tiketi yake mkononi anaikataa,hapana jamani,Mimi simwachi
 
Umehifadhi plat number ya gari dada?
Kama Umehifadhi basi haujachelewa nenda.
Ila hawa watu wadhalilishaji sana na wakorofi km hujawazoea utajikuta warumbana na kila mmoja wao.
Umasikini umewavuruga kichwa.
siyo wote wapo hivyo japo ni wengi
 
Back
Top Bottom