kiyusa mwenge
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 113
- 66
Wakuu,
Nakwazika sana tena sana ndani ya daladala pale kondakta anapoomba nauli.
Utakuta mwanaume anatoa walet yenye hela zaidi 50000+ ilhali nauli ni 400, 450, 500, 650 na 700 anaanza kupekuwa nauli anatafuta hela ndogo ili alipe.
Kwanini wakati unatoka kwako usiandae hela mapema ya nauli ukaitenga karibu ili kutoa walet yote.