Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,046
- 2,131
Ndugu zangu Makonda acheni tabia hii ni mbaya sana yaani haifai.
Ndugu zangu wana JF, sitaki kuwachosha sana,
mimi nachukia sana hii tabia mbaya ya ndugu zetu makondakta ya kujisahaulisha kurudisha au kutoa chenji kwa abiria wanapopewa hela kubwa na abiria mfano elf 2 au 5 hata 10 wanakuwa wazito sana kumpa chenji abiria.
Hivi wanafanya makusudi ili usahau ile kwako na iwe faida kwao au inakuwaje hasa? Kwanini yeye sio rahisi kukusahau kama hujalipa nauli ila ukitoa hera kubwa ndio akusahau.
Hivi mnajua watanzania sasa hivi hali sio nzuri sana wanawaza sana mda mwingi tunastres kwa kitendo cha kuchelewa kunipa chenji yangu unanifanya nisahau na kushuka bila kunipa chenji yangu na kuniongezea stress zaidi.
Acheni tabia hii unakuta mtu ndo unayo hiyo hiyo sasa uonapoisahau kwa kondakta roho inauma sana sana na tunaharibiana bajeti.
Je wewe umeshawahi sahau chenji kwa daladala au bado na ulijiskiaje uliumia au ni mimi tu nanaeumia pekee yangu.Au ndo yale yale ya vita vya panzi ni furaha ya kunguru au kufa kufaana.
Tiririka hapa.