KERO: Mabasi ya mwendokasi yapo machache mida ya asubuhi na jioni

MYAO WA KASKAZINI

Senior Member
Aug 10, 2015
133
59
Nyakati za asubuhi na jioni huwa inakuwa kero sana kwa wakazi wa jiji wanaotumia usafiri wa mwendokasi.

Abiria ni wengi sana lakini mabasi ni machache sana muda hiyo.

Madereva nao wanaringa kiasi kwamba wapo tayari kuondoka Kivukoni kituo cha mwisho bila abiria.

Mamlaka husika yatazameni haya ili kuboresha!!!
 
Hamjipangi nyakati za asubuhi na Jioni kwani hamjui abiria ni wengi muda huo KIMARA NI SHIDA SANA.

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Mi nadhani idadi ya mabasi ni ile ile sema tu wakati wa jioni na asubuhi idadi ya watu inakuwa kubwa zaidi.Labda waboreshe mfumo wa kupishana route wa mabasi hayo nyakat za asubuh na jion
 
Back
Top Bottom