Nonchalant
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 301
- 417
Habari Mwanajamvi!
Airtel wamekua na tabia ya ajabu sana, na hii ina wapata wateja wengi wa airtel km sio wote wanaotumia huduma hii.
Unapojiunga na kifurush cha wiki tsh 1500 (*149*81) dk 150 hw washenz hutumia salio lililobaki qa acaunt yako wakat tayar unacho kifurush. Mfano km utajiunga na kubak na sh1000 ktk acount nayo wataendelea kuikata kdgokdogo mpk kuisha, iwe unapiga simu airtel to airtel au kwend mitandao mngne.
Je hich kifurush kina maana gan kama salio linalobak kwa simu wanakata!!??