Kero kubwa ya mtandao Idara ya Uhamiaji Tanzania

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,743
1,379
Nimekuwa Uhamiaji kwa ajili ya passport tangia alfajiri. Geti linafunguliwa mpaka saa nane siku ya Alhamisi, Ijumaa hakuna mtandao na viongozi wanafurahia tu hakuna jitihada yoyote.

Waziri husika na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani hebu mulika suala hili. It's very shameful kwakweli.

Nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom