Kero: Gari za Kawe/Makumbusho toka Mbezi zinageukia Mawasiliano, abiria wa Kawe wanakosa usafiri

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Kumekuwa na uzembe wa ajabu sana unaoendelea kituo cha Mawasiliano. Magari ya Kawe/Tegeta/Makumbusho yanatoka Mbezi yanasema yanaishia Mawasiliano wakifika wanapaki sehemu ya kwenda Mbezi. Ukiuliza wanasema Kawe hatuendi. Mbaya zaidi unashuka unaona trafiic wako ndani ya kituo, ndugu zanguni SUMATRA hizi kazi muache kushinda maofisini tu tuwajibike wananchi wapate haki zao.

Watu wa Kawe wamejazana kibao magari yote yapo stand kuelekea Mbezi.

Kamanda mpinga tusaidiane kwa hili uncle wanatesa watu hawa jamaa.
 

Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,363
2,000
Watanzania watu wa ajabu sana gari linakatisha safari unaacha kupambana nao titi for tat unakuja kupost mtandao tena ukiwa na ID ya kificho unadhani Sumatra/police watashughulikiaje malalamiko bila kuwa na ushahidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom