masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Hali halisi, leo tena asubuhi!
Njia ilikuwa ikitumika moja tu, na sasa hapo mahali ni kero kubwa mvua ikinyesha.
Acha hizo, muhimu wahusika wasahihishe!aliyekuwa waziri wa ujenzi awamu ya 4 ni nani ?
na akina nani hao ?Acha hizo, muhimu wahusika wasahihishe!
Unaishi jijini Dar au Kajunjumele Kyela?na akina nani hao ?