Kenyatta road/ Shinyanga road Mwanza ni kero

venge

venge

Member
84
125
Hii barabara la kenyatta road almaarufu kama Shinyanga road ni kero sana kutokana na foleni sana wakati wa asubuhi na jioni tunaomba jiji lifanye utaratibu kwa kuipanua hiyo barabara japo iwe hata njia 3 maana tunakoelekea baada ya miaka mitatu minne hali itakua si nzuri ukizingatia ndo njia kuu ya kutoka na kuingia katika jiji
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
23,493
2,000
Ni kweli mkuu,hii barabara huku mtwara ni sumbufu sana kwa jam.
hii barabara la kenyatta road alimarufu kama shinyanga road ni kero sana kutokana na foleni sana wakati wa asubuhi na jioni tunaomba jiji lifanye utaratibu kwa kuipanua hiyo barabara japo iwe hata njia 3 maana tunakoelekea baada ya miaka mitatu minne hali itakua si nzur ukizingatia ndo njia kuu ya kutoka na kuingia katika jiji
 

Forum statistics


Threads
1,424,900

Messages
35,075,540

Members
538,137
Top Bottom