Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,415
- 3,761
Jinga kweli wewe, sasa akinunua ng'ombe na akiweka kwa account za nje, nani mshamba apo.Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Mtaibiwa sana nyinyi malofa, yani kama hapo unaona mjanja ni uhuru kuwekeza huko nje.
Mnasikitisha