Kenyatta na ICC; Watu na Maraisi wa Africa wana uwezo mdogo wa kufikiria?

Ni kweli Viongozi wa Afrika wamekosea sana ila kwa hili nawaunga mkono,Hiki chombo cha ICC ni cha kinafiki sana mwanzoni na mimi nilikitetea kama wewe juu ya kuwakamata Viongozi wanaokiuka haki za binadamu ila baada ya kushindwa kuwakamata akina Blair na Bush kwa kuua raia wasiokuwa na hatia Nchini Iraq ndipo nilianza kukidharau na double-standard zake.

binafsi kiliposhindwa kumshtaki bush kwa uhalifu wa kivita na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliopelekea umwagikaji wa damu kwa raia wasiokuwa na hatia wa iraq na afghanistan sina imani nacho hata kidogo, mtoa mada yupo sahihi kuwa crush viongozi wetu kwa hoja zao walizozitoa, pengine kwake yeye hazina mashiko.......labda wamekosea tu ktk kutoa sababu za sisi kujitoa lakini umuhimu wa kujitenga na icc upo na ni mkubwa mno, hawa si wazazi wetu tuogope kuachana nao
 
Jamani kama chombo kilichoundwa kuwashtaki wakiukaji wa haki za binadamu duniani kinaonyesha bias openly ya kuwa tayari kumwajibisha muAfrika na sio mzungu halafu bado miAfrika humu ndani inakishabikia mimi inanshangaza sana.
Inferiority complex yetu lazima itakua geneticaly inherited.
Sawa viongozi waAfrika wali sign hayo makubaliano wakijua hicho chombo hakitakua na upendeleo wowote na kitafanya kazi kama kilivyobainisha.
Wanashangaa kuwa kumbe ni kwa ajili ya kuwa wajibisha maskini wao na sio nchi tajiri!
Sasa kwanin waendelee kuki support wakati kinaacha kumwajibisha bush et al waliosababisha vifo vya mamilion ya raia wema HADI SASA na kuwashupalia akina kenyatta ambao kama basi walisababisha vifo vya elfu ngap sijui na wameweza
kuna mambo ukiyatafuta mara nyingi yanapatikana huku Afrika na tungelipenda kujivunia tunavyodai basi tukatae na uvumbuzi mwingine ambao unaletwa wungu. Hapa japo majina ya Bliar, Bush nk hayapo lakini angalia katika haya yafutayo ni jina gani halitakiwi kuwepo. Fuatilia records zao na jinsi gani walijikuta wakipelekwa ICC, tumia busara na kabla hujawalaumu wazungu basi walaumu hata viongozi wetu waliosaini huo mkataba!
1 Bahr Idriss Abu Garda - Sudan -Prosecutor's application
2 Mohammed Hussein Ali - Somalia -Referred by own country
3 Abdallah Banda Abakeir - Sudan -Prosecutor's application
4 Omar al-Bashir - Sudan -Prosecutor's application
5 Jean-Pierre Bemba - DRC -Referred by own country
6 Muammar Gaddafi - Libya -Referred by own country
7 Saif al-Islam Gaddafi - Libya -Referred by own country
8 Laurent Gbagbo - Ivory Coast -Referred by own country
9 Simone Gbagbo - Ivory Coast -Referred by own country
10 Ahmed Mohammed Haroun - Sudan -Prosecutor's application
11 Abdel Rahim Hussein - Sudan -Prosecutor's application
12 Saleh Jerbo - Sudan -Prosecutor's application
13 Germain Katanga (Simba) - DRC -Referred by own country
14 Uhuru Kenyatta - Kenya -Referred by own country
15 Joseph Kony - Uganda -Referred by own country
16 Henry Kosgey - Kenya -Referred by own country
17 Ali Kushayb - Sudan -Referred by own country
18 Thomas Lubanga Dyilo - DRC -Referred by own country
19 Raska Lukwiya - Uganda -Referred by own country
20 Callixte Mbarushimana - Rwanda -Referred by own country
21 Sylvestre Mudacumura - Rwanda -Referred by own country
22 Francis Muthaura - Kenya -Referred by own country
23 Mathieu Ngudjolo Chui - DRC -Referred by own country
24 Bosco Ntaganda - DRC -Referred by own country
25 Okot Odhiambo - Uganda -Referred by own country
26 Dominic Ongwen - Uganda -Referred by own country
27 Vincent Otti - Uganda -Referred by own country
28 William Ruto - Kenya -Referred by own country
29 Joshua Sang - Kenya -Referred by own country
30 Abdullah Al-Senussi - Libya -Referred by own country

Any leadership in any society is a reflection of the society itself. Ukipata kiongozi kama JK wa Tanzania inaakisi jinsi jamii ya watanzania ilivyo. JK, States man ndiyo sura ya Wanzania wote walivyo na ndiyo maana wakamchagua, hata kama aliiba kura,jamii ndiyo iliyoruhusu uwezekano huo kuwepo. Hivyo hivyo kwa Kenya, Uganda nk hadi Afrika nzima. Linalowezekana Tanzania haliwezi kuwezekana Uingereza.Linalowezekana Afrika haliwezi kuwezekana Marekani. Uadilifu wa Sweeden ni nadra kuupata Tanzania. Msiba wa kujitakia hauna kilio.
Africa ina viongozi mabwege
 
nimeshangaa sana jinsi maraisi wa africa wamekuwa wanaalamika juu ya suala la kenyatta wa kenya na suala la kushitakiwa mahakama ya kimataifa (icc). Wanadai yafuatayo;

"there shouldn't be a court in the north judging people from the south" - au security commissioner ramtane lamamra

"what then is the problem of the icc when the kenyan people have spoken through their vote". President museveni

hivi watu wenye akili wanaweza kuongea ujinga wa namna hii?

Hivi sisi waafrika tuna akili nzuri kweli? Yaani ushahidi kwamba kenyatta hakuhusika na mauaji kenya ni kuwa alishinda uchaguzi? Katika kisa cha yesu na mhalifu barnabas, ina maana barnabas alikuwa hana hatia na yesu kuwa na hatia kwa kuwa tu watu walichagua barnabas ili aachiwe huru na sio yesu?

Na pia viongozi wa afrika watalalamikaje kwamba icc isihukumu watu wa kusini wakati viongozi wa afrika wenyewe kwa hiari walisaini makubaliano ya icc? Kama icc ilikuwa sawa kwa wauaji wa rwanda, kwa nini isiwe sawa kwa kenyatta? Kama wanaona icc haifai si wajitoe kwanza ndio wapinge kina kenyatta kushitakiwa icc?

Hivi waafrika tuna laana ya kutoweza kufikiri na kutumia akili? Hawa viongozi wa namna hii ndio tunategemea walikomboe bara letu kutokana na umasikini na ukandamizazi demokrasia?

jamani afrika bara langu nakulilia! Mbona viongozi wako wanakubaka na kukunajisi sana?

Ndiyo uzuri wa sheria ipo kama msumeno inakata kotekote. Waliposaini walidhani itawahusu walala hoi tu, sasa imekula kwao.
 
ni muhimu sana kuelewa jambo hili kwamba, ICC ni mahakama ya kimataifa iliyoanza kufanya kazi mwaka 2002. na haichagui mtu wala nchi, nchi iwe imesaidi au haijasaini, kama watu wake watafanya makosa ya kimataifa na wakawa hawajachukuliwa hatua na nchi zao, ICC itaingilia na kuwatolea arrest warrant baada ya preliminary investigation kama ilivyokuwa kenya na nchi zingine.

tusichanganye jambo hili na ICTR hapo Arusha (kwa Rwanda) ambapo makosa ya Rwanda yalifanyika mwaka 1994 tu. remember ICTR inashughulikia makosa yaliyofanyika mwaka 1994 tu na ndani ya Rwanda na nje yake alimradi yawe yalikuwa na connection ya kitu kile kinachofanyika Rwanda wakati wa mauaji yale.

USA, SUDAN na nchi zingine nyingi tu hazijasaini Rome statute of International Criminal Court (ICC), lakini bado tu kama wakifanya makosa yanayokinzana na sheria ile na wakawa hawajashughulikiwa na nchi husika watakamatwa tu na kupelekwa ICC. ndivyo tulivyoona kwa al bashir wa sudan.

hatuwezi kuwazungumzia Bush na Ramsfed kwa sasa, kwasababu je? makosa waliyoyatenda, yalitendeka baada au kabla ya mwaka 2002? kama yalitendeka wakati ICC STATUTE ipo in force, wangeshapelekwa jambo lao kule ICC, nchi nyingi zimejaribu hili lakini wanaona kuwa mambo waliyoyafanya iraq etc waliyafanya kabla icc statute haijaanza kufanya kazi. huwezi kumshitaki mtu kwa kutumia sheria ambayo wakati kosa linafanyika haikuwepo.

pili, ICC iliundwa in order to replace ad hoc tribunals...AD HOC TRIBUNALS NI NINI? ni mahakama hizi mbadala kama vile ICTR, ICTY, special tribunal for Lebanon na Special tribunal for Sierra Leone na ile ya Cambodia pia. jumuiya ya kimataifa iliona kuwa, hatuwezi kuwa tunaunda mahakama ya eneo fulani tu kiwa wakati makosa ya aina hii yakifanyika, bora tuunde mahakama moja itakayoshughulikia mambo yote haya. ndipo ikaundwa ICC. this means that, ICTR, ICTY na hizo zingine, ziko limited only to offences committed during certain period of time. makosa yeyote yale ya kimbari au halaiki etc yakifanyika leo Rwanda au Yugoslavia ya zamani wakosaji hawawezi kupelekwa ICTR au ICTY, bali ICC.

lengo la kuwepo icc ni kufuta vimahakama vinavyoundwa eneo kwa eneo kila wakati. utaona kuwa ICTR hapo arusha inamalizia kabisa shughuli zake na mwakani wanafunga jengo kabisa, hakutakuwa na ICTR tena, bali ICC kama kuna makosa yaliyofanyika baada ya 2002. we are no longer going to have ad hoc tribunals in this world, ITAKUWA MAHAKAMA MOJA TU.

hivyo, tusichanganye ad hoc tribunals na icc, pia tusilaumu kwamba icc inawaonea waafrica, kwasababu ukiulizwa swali, kuna nchi gani ulaya, america, asia etc ambayo imefanya makosa yanayotakiwa yapelekwe icc katika kipindi kuanzia mwaka 2002,unaweza kukosa jibu. kama ipo, basi jumuiya ya kimataifa ingesha refer the matter to the Hague muda mrefu., security council, state parties au prosecutor himself proprio mottu angeshaanzisha upelelezi. i have so much to write about this matter lakini naomba nipishe wenzangu waandike...kwa upande wangu, nafikiri yatupasa tushukuru kwamba ICC inawashughulikia viongozi wa africa eg. Gbagbo etc, utamtetea mtu kama yule kwa alichofanya? je? icc ingemwacha tu kwa kuogopa kuwa wangeonekana kuwaonea waafrica?

viongozi wa africa wamekosa kitu cha kujadili hadi wanapoteza muda badala ya kujadili maendeleo na kuondokana na umasikini wa nchi zao wao wanajadili kupinga icc? kwa wale waliosaini mkataba walifikiri wanasaini nini? hawakuusoma kwanza mkataba wa Roma?

kwa kumalizia, the very possible offences among others ambazo Bush na mwenzake wangeshitakiwa ili kuwa ni kosa la AGGRESSION, ambalo katika ICC STATUTE halijaanza kufanya kazi, kulikuw ana mkutano kampala mwaka 2010 kujadili hilo lakini limeahirishwa hadi mwaka 2017 watakapokutana kujadili kama lianze kufanya kazi au la. likianza kufanya kazi, basi viongozi wa nchi watakaoamrisha nchi zao kuvamia nchi za wenzao watakamatwa viongozi hao. hii imewekwa dhahiri kuwatageti wamarekani na waisrael. kwa habari ya crimes against humanity, war crimes na genocide, inahitajika ushahidi mzito sana kuwapata bush na mwenzie, hata hivyo, inasemekana makosa hayo waliyafanya kabla ya 2002 hivyo ICC haina nguvu kwao. waliponea hapo.

===========================================

Ndugu una maneno meeengi sana ya kuwatetea wazungu na kuhalalisha sera kandamizi wanazo tutungia kila siku.
Ni dhahiri kuwa utafanikiwa kumdanganya mtu mara kadha wa kadha lakini ipo siku atakushtukia. Ndicho walicho kishtukia viongozi wetu. Kwa mara ya kwanza wameweza kuwaambia wazungu usoni, HAPANA!
Wewe pamoja na wenzio lukuki mnawaona wazungu watu wema sana naomba mjiulize;

a) Wakati Africa inatekwa, kukatwakatwa vipande vipande na kila kimoja kuitwa koloni la taifa fulani la huko Ulaya, ICC ilikuwa wapi?

b) Wakati wakoloni wanawabaka wanawake wakiafrika na wanaume kuuwawa kama inzi, ICC ilikuwa wapi? Mfano mdogo ni Mkwawa wa Wahehe alivyokatwa kichwa na wajerumani; ni lini wajerumani watawajibishwa na ICC?

c) Wakati wakoloni wanapora raslimali za Africa na kuziacha nchi nyingi zikiwa katika hali mbaya, ICC ilikuwa wapi?

d) Makaburu wa Afrika Kusini waliwauwa wenzetu kwa zaidi ya miaka 120, waliwafanyia kila kitu kibaya hata asichoweza kufanyiwa mnyama, ICC ilikuwa wapi?
Unakumbuka alichokifanya Mandela? TJRC aliyoianzisha ndiyo iliyosawazisha mambo.
Nia ya ICC siyo wanayoitangaza hadharani... Funguka, fikiria zaidi, do not be too superficial!

Kwa upande wa pili, je
1) Una habari kwamba mpaka leo hii Muafrika ni kiumbe kinachodharaulika sana na hawa wazungu mnaowatetea? Waafrika wangapi wanauwawa na wazungu kila siku kule marekani na uingereza halafu ICC haisemi kitu?

2) Ni kwanini wote wanaoshtakiwa ICC ni viongozi wa Afrika tu tena wale wanaokataa raslimali za nchi zao kuchukuliwa hovyo na marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?

3) Hata uitetee marekani kivipi unajua kuwa wao ndiyo wauwaji nambari moja wa watu dunia nzima? Kilichotokea Tunisia, Libya, Misri na sasa Syria unajua kuwa wao ndo walitengeneza?

4)Una habari kuwa tangu Agosti 2012 marekani walinyakua visima vingi wanavyogema mafuta nchini Libya na kuyapeleka nchini mwao pasipo kutoa hata senti tano kwa walibya?

Msikurupuke kuwaunga mkono wazungu pasipo kujua nia zao.
Katika hili wanajua fika kuwa Uhuru Kenyatta hatowapa chochote pale Kenya. Sasa hivi kuna mafuta mengi sana pamoja na madini mengi sana yamegundulika hapo Kenya na wanalazimisha kupewa hizo dili za kuyachimba lakini wamenyimwa!
Kwa hivyo wanatafuta mashahidi hata wa kuhongwa ili wamdhibiti Uhuru. Hawajali kwamba hilo litaleta vurugu au la na labda watu wengi kupoteza maisha. La muhimu kwao ni kuzipata hizo raslimali.

Mtakapopatwa na adha kubaguliwa kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu ndo siku mtafunguka!
Pambana na matatizo ya ndani kwako mpaka upate suluhu inayo kufaa lakini usiende kwa mzungu!
Mzungu si mtu mwema!
Tahadhari sana!
 
Nimeshangaa sana jinsi Maraisi wa Africa wamekuwa wanaalamika juu ya suala la Kenyatta wa Kenya na suala la kushitakiwa Mahakama ya Kimataifa (ICC). Wanadai yafuatayo;

"There shouldn't be a court in the north judging people from the south" - Au security commissioner Ramtane Lamamra

“What then is the problem of the ICC when the Kenyan people have spoken through their vote”. President Museveni

Hivi watu wenye akili wanaweza kuongea ujinga wa namna hii?

Hivi sisi Waafrika tuna akili nzuri kweli? Yaani ushahidi kwamba Kenyatta hakuhusika na mauaji Kenya ni kuwa alishinda uchaguzi? Katika kisa cha Yesu na mhalifu Barnabas, ina maana Barnabas alikuwa hana hatia na Yesu kuwa na hatia kwa kuwa tu watu walichagua Barnabas ili aachiwe huru na sio Yesu?

Na pia viongozi wa Afrika watalalamikaje kwamba ICC isihukumu watu wa kusini wakati viongozi wa Afrika wenyewe kwa hiari walisaini makubaliano ya ICC? Kama ICC ilikuwa sawa kwa wauaji wa Rwanda, kwa nini isiwe sawa kwa Kenyatta? Kama wanaona ICC haifai si wajitoe kwanza ndio wapinge kina Kenyatta kushitakiwa ICC?

Hivi Waafrika tuna laana ya kutoweza kufikiri na kutumia akili? Hawa viongozi wa namna hii ndio tunategemea walikomboe bara letu kutokana na umasikini na ukandamizazi demokrasia?

Jamani Afrika bara langu nakulilia! Mbona viongozi wako wanakubaka na kukunajisi sana?

Well said Mkuu Synthesizer, kesi zote zilizoko ICC ni serikali za mataifa ya Afrika ndio walioomba zishughulikiwe huko. Hata hiyo ya akina Uhuru na Ruto, ni serikali ya Kenya iliyoomba baada ya wao kushindwa kuifanyia kwao. Hivi wanataka kutuambia mashataka yafutwe na wale wa-Kenya 2000 waliouwawa ndio haki imepatikana? Huyo Museveni mwenyewe mbona aliomba ICC watoe hati ya kukamatwa Joseph Kony?
 
Last edited by a moderator:

Mission Impossible!

983620_242631929195088_1185742601_n.jpg
 
katika suala hili hatutakiwi kuongea siasa, dunia ya leo ni ya leo, sio ya miaka ya nyuma. mambo yanabadilika katika kila nyanja. uonevu tuliofanyiwa kipindi cha ukoloni tusiunganishe na yanayotokea leo kwa icc na waafrica. zaidi ya yote, Rutto wa kenya alipenda na alisapoti jambo hili lishughulikiwe na icc, wakenya walio wengi walisapoti hili. kenya ilishindwa kutumia mahakama zao kushitaki akina uhuru. kuiambia mahakama ya icc irudishe kesi kenya ni jambo ambalo katika dunia ya leo halitakuja kuwezekana, ni aibu kwa africa na LITAWEKA PRECEDENT MBAYA SANA KWA dunia nzima. kila mtu akishitakiwa pale ataomba arudishwe kwao akashitakiwe huko. hata kwa watu ambao walipewa opportunity na icc karibia mwaka mzima watumie mahakama zao wakashindwa kuitumia nafasi hiyo? walibembelezwa sana kushugulikia jambo hili lakini hawakufanya kitu. hakuna kitakachoifanya mahakama ya icc kubadili msimamo wake, na kama itafanya hivyo, basi icc itakuwa haina meno na itakuwa inakiuka misingi ya statute yake.....however, kama icc itaamua kufanya hivyo ili kuweka precedent itakayotumika na watu wengine baadaye, no problem.
 
Africa inaingia kwenye ukoloni mpya wa maraisi na vyama vya kisiasa vilivyozoea madaraka.Kwa mawazo na misimamo ya maraisi wa Africa juu ya ICC tutegemea wahasi kuongezeka katika bara hili.Watawala wataua wananchi wao bila woga.Ila ukombozi wa kweli utapatokana baada ya uhasi wa nguvu ya umma
 
Mwanzoni walipaza sauti..tupelekekeni icc..leo wameukwa urais eti tunaonewa...walilia wembe wenyewe leo imeanza kuwanyoa hata kabla haijawakata wameanza kulia..
 
"There shouldn't be a court in the north judging people from the south" - Au security commissioner Ramtane Lamamra

Huyu anajitambua kweli?!? Anasahau kwamba Ocampo aliishauri Kenya kwamba kesi hiyo iendeshwe na kusikilizwa hapo hapo Kenya?!?

Huyo aliyesema hayo, anafahamu alichojibiwa Ocampo? Wakenya wenyewe walikataa hiyo kesi kuendeshwa Kenya. Wakataka kesi iendeshwe huko huko The Hague!!

Halafu hao viongozi ni wapuuzi sana. Wakati sera zao za kifedha, kiuchumi na kimaendeleo zinapangwa na hao northerners, mbona hawazikatai? Misaada toka kwa hao northerners, mbona hawaikatai?
 
Kama hujui sheria ni bora unyamaze na si kudanganya umma,si kweli kama hakuna kosa katika vitabu kwetu vya sheria ama za kimataifa mtu hawezi shutakiwa,sheria can operate both retrospective way ama prospective way depending na uwamuzi wa nchi ama mahakama yenyewe japokuwa wanafalsa wengi wa sheria hufavour prospective way lakini aimanishi retrospective way haifanyi kazi,kwa mfano katika kipindi cha baba wa taifa watu wengi walikamatwa kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuwekwa jela ama kizuizini ambako kipindi hicho sheria kuhujumu uchumi ilikuwa bado haijaundwana kuwa inforce,pia mahakama kuu katika nchi nyingi zinamamlaka ya kutoa hukumu katika makosa ambayo hayapatikani katika sheria zao..kwa hyo waweza muhukumu sema tu wqo ndo wameunda hzo mahakama na wao ndo wadhamini wa hizo mahakama..unu cn do nthing abt em
 
The one simple fact we often (maybe intentionally) forget on the International Criminal Court issue is that Mr Uhuru Kenyatta and Mr William Ruto are at The Hague-based court by choice.

They asked and planned for it. They complained when Kofi Annan delayed to deliver the Waki envelope to Ocampo.

They mobilised support against a special tribunal created and run in Kenya. They did this against all wise counsel. Further, they ridiculed and scoffed at those who preferred a local process and humiliated President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga when they mobilised Parliament to support a local tribunal. They won the day as attempts to establish a local mechanism were defeated.

As if to make their win memorable, they got Mr Isaac Ruto to coin the ‘don’t be vague, let’s go to The Hague’ slogan.
 
Bush hawezi kushitakiwa/kupelekwa ICC kwasababu USA hajaridhia/kusign mkataba wa ICC. Lakini ma-viongozi yote ya KIAFRIKA yamesign mkataba wa ICC.

Huyo Huyo Museveni anayelalamikia ICC sasa, aliwahai kumwambia Bashir Rais wa Sudan kwamba akikanyaga tu Uganda anamkamata na kumpeleka ICC kwasababu anatafutwa kwa makosa ya genocide. Leo eti Museveni anaiponda ICC na wewe unamuona SHUJAA!!

VIONGOZI WA KIAFRIKA ARE FULL OF HYPOCRISY.

Mkuu Rwanda haijaridhia mkataba wa ICC pia.
 
kuna mambo ukiyatafuta mara nyingi yanapatikana huku Afrika na tungelipenda kujivunia tunavyodai basi tukatae na uvumbuzi mwingine ambao unaletwa wungu. Hapa japo majina ya Bliar, Bush nk hayapo lakini angalia katika haya yafutayo ni jina gani halitakiwi kuwepo. Fuatilia records zao na jinsi gani walijikuta wakipelekwa ICC, tumia busara na kabla hujawalaumu wazungu basi walaumu hata viongozi wetu waliosaini huo mkataba!
1 Bahr Idriss Abu Garda - Sudan -Prosecutor's application
2 Mohammed Hussein Ali - Somalia -Referred by own country
3 Abdallah Banda Abakeir - Sudan -Prosecutor's application
4 Omar al-Bashir - Sudan -Prosecutor's application
5 Jean-Pierre Bemba - DRC -Referred by own country
6 Muammar Gaddafi - Libya -Referred by own country
7 Saif al-Islam Gaddafi - Libya -Referred by own country
8 Laurent Gbagbo - Ivory Coast -Referred by own country
9 Simone Gbagbo - Ivory Coast -Referred by own country
10 Ahmed Mohammed Haroun - Sudan -Prosecutor's application
11 Abdel Rahim Hussein - Sudan -Prosecutor's application
12 Saleh Jerbo - Sudan -Prosecutor's application
13 Germain Katanga (Simba) - DRC -Referred by own country
14 Uhuru Kenyatta - Kenya -Referred by own country
15 Joseph Kony - Uganda -Referred by own country
16 Henry Kosgey - Kenya -Referred by own country
17 Ali Kushayb - Sudan -Referred by own country
18 Thomas Lubanga Dyilo - DRC -Referred by own country
19 Raska Lukwiya - Uganda -Referred by own country
20 Callixte Mbarushimana - Rwanda -Referred by own country
21 Sylvestre Mudacumura - Rwanda -Referred by own country
22 Francis Muthaura - Kenya -Referred by own country
23 Mathieu Ngudjolo Chui - DRC -Referred by own country
24 Bosco Ntaganda - DRC -Referred by own country
25 Okot Odhiambo - Uganda -Referred by own country
26 Dominic Ongwen - Uganda -Referred by own country
27 Vincent Otti - Uganda -Referred by own country
28 William Ruto - Kenya -Referred by own country
29 Joshua Sang - Kenya -Referred by own country
30 Abdullah Al-Senussi - Libya -Referred by own country

Kwa wale wote mnaomtetea Museveni MUST be ashamed yourselves.

The same Museveni ambaye leo hii anai MOCK ICC simply kwasababu Kenyatta amekuwa referred huko, tena na nchi yake Kenya. Museveni mwenyewe amesha referrer ICC WAGANDA 5 (READ FIVE, angalia hapo kwenye RED).

Halafu leo mtu kwa uso mkavu anamtetetea huyu DICTATOR mkubwa wa EA.

Museveni is a HYPOCRISY president of all times in EA!
 
KATIKA HILI MIMI NAFIKIRI HIVI;

  1. This is so contradictory kwa sababu,kosa wamefanya wakenya wenyewe kwa ku-vote na kumpa Urais mtu ambaye wenyewe wanaamini ni muuaji na hawakuishia kuamini tu bali, walimpeleka mahakamani The Hague-ICC kwa tuhuma kwamba alisababisha mauaji ya ndugu zao mara baada ya uchaguzi wao wa 2007. Inawezekana walimchagua kwa kudhani kuwa anasingiziwa.......so, waendelee kudhani hivyo na waiache mahakama ifanye kazi yake. Kama ndivyo atasafishwa na mahakama na ataendelea kuwa Rais wao. Akikutwa na hatia atakuwa ame-surrender power kwa wakenya na wataamua upya
  2. Ile tume ambayo imependekeza Kenyatta na Ruto washtakiwe si iliundwa wakenya wenyewe? Kwa nini inapendekeza Rais wao ashtakiwe? Na kwa nini inalaumiwa ICC?
  3. Je, hofu ya hawa ma-Rais wa Afrika ni nini kwa sasa hadi wanaishambulia mahakama hii kwa wakati huu ambayo waliridhia kuanzishwa kwake? Je, ni kwa sababu Kenyatta amechaguliwa kuwa Rais.......that Kenyans have spoken?....Hata hivyo tuna about 45% of Kenyans who spoke against Kenyatta & Ruto.....na nadhani hawa ndo wenye akili na waliliona hili wakasema HAPANA

KUHUSU VIONGOZI WETU WA AFRIKA;
  • Ni wababaishaji tu na wanaogopa maovu yao nao siku moja kufika huko na hasa M7!!..Na ndugu zangu kwa hili ni lazima washtuke kwa sababu, ni wazi wanajiona hayuko kati yao aliye salama. Walifikiri ni mzaha kwa Al-Bashir wa Sudani ya Kaskazini ambaye mpaka leo anaweza kuwa arrested anyday, anytime akiingia ktk anga za ICC. Sasa ni Kenyatta aliyeshtakiwa akiwa SI RAIS, sasa kawa RAIS na bado kashikwa tu!!.....They think, kwa sababu ni Ma-rais wa Afrika wanadhani sheria za kimataifa zinaweza kupindishwa tu eti kimlinda Rais Kenyatta kwa kigezo cha "Kenyans have spoken"
  • Marais wetu wa Afrika hasa kama sisi wa-Tz ni kujidaganya tu eti tunaweza kupingana na watu tunaowategemea kwa karibu 50% kuendesha nchi zetu. Kwa ufupi huu ni unafiki tu wa viongozi wetu!!
 
Nimeshangaa sana jinsi Maraisi wa Africa wamekuwa wanaalamika juu ya suala la Kenyatta wa Kenya na suala la kushitakiwa Mahakama ya Kimataifa (ICC). Wanadai yafuatayo;

"There shouldn't be a court in the north judging people from the south" - Au security commissioner Ramtane Lamamra

"What then is the problem of the ICC when the Kenyan people have spoken through their vote". President Museveni

Hivi watu wenye akili wanaweza kuongea ujinga wa namna hii?

Hivi sisi Waafrika tuna akili nzuri kweli? Yaani ushahidi kwamba Kenyatta hakuhusika na mauaji Kenya ni kuwa alishinda uchaguzi? Katika kisa cha Yesu na mhalifu Barnabas, ina maana Barnabas alikuwa hana hatia na Yesu kuwa na hatia kwa kuwa tu watu walichagua Barnabas ili aachiwe huru na sio Yesu?

Na pia viongozi wa Afrika watalalamikaje kwamba ICC isihukumu watu wa kusini wakati viongozi wa Afrika wenyewe kwa hiari walisaini makubaliano ya ICC? Kama ICC ilikuwa sawa kwa wauaji wa Rwanda, kwa nini isiwe sawa kwa Kenyatta? Kama wanaona ICC haifai si wajitoe kwanza ndio wapinge kina Kenyatta kushitakiwa ICC?

Hivi Waafrika tuna laana ya kutoweza kufikiri na kutumia akili? Hawa viongozi wa namna hii ndio tunategemea walikomboe bara letu kutokana na umasikini na ukandamizazi demokrasia?

Jamani Afrika bara langu nakulilia! Mbona viongozi wako wanakubaka na kukunajisi sana?

So far nchi nyingi kutoka Africa ndio zime-sign na ku-ratified ICC Protocol kuliko bara lingine lolote line duniani. Nchi 43 kutokja Africa zime-sign na 33 zimeridhia. (Tanzania ime-sign bado kuridhia...thank God sijui nani aliwashtua wanyuti kwanza). Inaonyesha Africa uwelewa wetu ni mdogo ndio maana tunajijngiza kichwakichwa kwenye mikataba hovyo kama huu wa ICC. na Bado EPA agreement inakuja nayo tutaingia kichwa kichwa.
 
The one simple fact we often (maybe intentionally) forget on the International Criminal Court issue is that Mr Uhuru Kenyatta and Mr William Ruto are at The Hague-based court by choice.

They asked and planned for it. They complained when Kofi Annan delayed to deliver the Waki envelope to Ocampo.

They mobilised support against a special tribunal created and run in Kenya. They did this against all wise counsel. Further, they ridiculed and scoffed at those who preferred a local process and humiliated President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga when they mobilised Parliament to support a local tribunal. They won the day as attempts to establish a local mechanism were defeated.

As if to make their win memorable, they got Mr Isaac Ruto to coin the ‘don’t be vague, let’s go to The Hague’ slogan.

Very controversial! If kenyans decided themselves that the suspects should be prosecuted and judged by the icc, how did it turn differently to elect the same suspects to be their own honoured leaders?

Mmoja wetu huko juu kasema marais wa afrika ni reflection ya waafrika walivyo.

Mwingine akasema hapo juu tutegemee maasi mengi afrika kama ilivyokuwa henzi za afrika kujitafutia uhuru.

Hapa sitakikuwatetea wazungu au waafrika linapokuja suala la haki ambayo kwa miongozo yetu ndani ya nchi zenyewe na kimataifa inapatikana mahakamani.

Tujiulize Blair na Bush waliingiaje ktk hizo nchi? Ni mauaji kiasi gani yalikuwa yametokea japo haiwezi kuwa justfied na yaliyotokea baadae. Nini kinaendelea Siria na kama wasiria wameshindwa kutatua tofauti zao kwa gharama ya damu za watu kiasi hicho...mataifa yafanyeje?

Kwa kifupi, kupinga icc na kujitenga hauwezi kuwa mwafaka mzuri. Izingatiwe pia kuwa wezentu demokrasia yao iko juu na kwa afrika bado tu chini. Kuikataa icc ni kujitenga na vyombo vya haki kimataifa wakati hivi vytu ni matatizo-rejea hapa kwetu, uganda na hata sudani-

Kama viongozi wa kiafrika hawatakuwa na cha kuogopa juu yao...ni janga na maafa kwa afrika...hasa kwa nyakati hizi ambazo demokrasia inakanyagwa.
 
ni muhimu sana kuelewa jambo hili kwamba, ICC ni mahakama ya kimataifa iliyoanza kufanya kazi mwaka 2002. na haichagui mtu wala nchi, nchi iwe imesaidi au haijasaini, kama watu wake watafanya makosa ya kimataifa na wakawa hawajachukuliwa hatua na nchi zao, ICC itaingilia na kuwatolea arrest warrant baada ya preliminary investigation kama ilivyokuwa kenya na nchi zingine.

tusichanganye jambo hili na ICTR hapo Arusha (kwa Rwanda) ambapo makosa ya Rwanda yalifanyika mwaka 1994 tu. remember ICTR inashughulikia makosa yaliyofanyika mwaka 1994 tu na ndani ya Rwanda na nje yake alimradi yawe yalikuwa na connection ya kitu kile kinachofanyika Rwanda wakati wa mauaji yale.

USA, SUDAN na nchi zingine nyingi tu hazijasaini Rome statute of International Criminal Court (ICC), lakini bado tu kama wakifanya makosa yanayokinzana na sheria ile na wakawa hawajashughulikiwa na nchi husika watakamatwa tu na kupelekwa ICC. ndivyo tulivyoona kwa al bashir wa sudan.

hatuwezi kuwazungumzia Bush na Ramsfed kwa sasa, kwasababu je? makosa waliyoyatenda, yalitendeka baada au kabla ya mwaka 2002? kama yalitendeka wakati ICC STATUTE ipo in force, wangeshapelekwa jambo lao kule ICC, nchi nyingi zimejaribu hili lakini wanaona kuwa mambo waliyoyafanya iraq etc waliyafanya kabla icc statute haijaanza kufanya kazi. huwezi kumshitaki mtu kwa kutumia sheria ambayo wakati kosa linafanyika haikuwepo.

pili, ICC iliundwa in order to replace ad hoc tribunals...AD HOC TRIBUNALS NI NINI? ni mahakama hizi mbadala kama vile ICTR, ICTY, special tribunal for Lebanon na Special tribunal for Sierra Leone na ile ya Cambodia pia. jumuiya ya kimataifa iliona kuwa, hatuwezi kuwa tunaunda mahakama ya eneo fulani tu kiwa wakati makosa ya aina hii yakifanyika, bora tuunde mahakama moja itakayoshughulikia mambo yote haya. ndipo ikaundwa ICC. this means that, ICTR, ICTY na hizo zingine, ziko limited only to offences committed during certain period of time. makosa yeyote yale ya kimbari au halaiki etc yakifanyika leo Rwanda au Yugoslavia ya zamani wakosaji hawawezi kupelekwa ICTR au ICTY, bali ICC.

lengo la kuwepo icc ni kufuta vimahakama vinavyoundwa eneo kwa eneo kila wakati. utaona kuwa ICTR hapo arusha inamalizia kabisa shughuli zake na mwakani wanafunga jengo kabisa, hakutakuwa na ICTR tena, bali ICC kama kuna makosa yaliyofanyika baada ya 2002. we are no longer going to have ad hoc tribunals in this world, ITAKUWA MAHAKAMA MOJA TU.

hivyo, tusichanganye ad hoc tribunals na icc, pia tusilaumu kwamba icc inawaonea waafrica, kwasababu ukiulizwa swali, kuna nchi gani ulaya, america, asia etc ambayo imefanya makosa yanayotakiwa yapelekwe icc katika kipindi kuanzia mwaka 2002,unaweza kukosa jibu. kama ipo, basi jumuiya ya kimataifa ingesha refer the matter to the Hague muda mrefu., security council, state parties au prosecutor himself proprio mottu angeshaanzisha upelelezi. i have so much to write about this matter lakini naomba nipishe wenzangu waandike...kwa upande wangu, nafikiri yatupasa tushukuru kwamba ICC inawashughulikia viongozi wa africa eg. Gbagbo etc, utamtetea mtu kama yule kwa alichofanya? je? icc ingemwacha tu kwa kuogopa kuwa wangeonekana kuwaonea waafrica?

viongozi wa africa wamekosa kitu cha kujadili hadi wanapoteza muda badala ya kujadili maendeleo na kuondokana na umasikini wa nchi zao wao wanajadili kupinga icc? kwa wale waliosaini mkataba walifikiri wanasaini nini? hawakuusoma kwanza mkataba wa Roma?

kwa kumalizia, the very possible offences among others ambazo Bush na mwenzake wangeshitakiwa ili kuwa ni kosa la AGGRESSION, ambalo katika ICC STATUTE halijaanza kufanya kazi, kulikuw ana mkutano kampala mwaka 2010 kujadili hilo lakini limeahirishwa hadi mwaka 2017 watakapokutana kujadili kama lianze kufanya kazi au la. likianza kufanya kazi, basi viongozi wa nchi watakaoamrisha nchi zao kuvamia nchi za wenzao watakamatwa viongozi hao. hii imewekwa dhahiri kuwatageti wamarekani na waisrael. kwa habari ya crimes against humanity, war crimes na genocide, inahitajika ushahidi mzito sana kuwapata bush na mwenzie, hata hivyo, inasemekana makosa hayo waliyafanya kabla ya 2002 hivyo ICC haina nguvu kwao. waliponea hapo.

nakuhakikishia kua as long as you and i are alive hakuna rais au rais wa zamani wa marekani au uingereza atapelekwa ICC. Hilo hata wewe unalijua
 
Back
Top Bottom