Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Your land, is your sovereignty.
Now that, when a big tract of land is owned by few people. One can conclude that, (it's) when nation's dignity is with few nationals. This is normally leads to a class struggle within the nation.
 
LOL.. Jamaa unapenda kuPromote nyuzi zako::::
..
Ndio ziendelee kuTrend
 
Ndiyo maana mila zetu zinakataa nyie kupewa ardhi. Ona sasa, najaribu kuamsha fikra kuhusu utu na amali (siyo mali) ya jamii yenu, wewe unaanza kuleta habari za lip stick.
Haya ni mambo yetu wazee, nyie nenda kupikia watoto.
 
Nipe watoto basi. Na uninunulie lipstick ๐Ÿ’„ ๐Ÿ’„ ๐Ÿ’„
 
Halafu ndo zenu na nishida. Watoto wakianza kukua mnaanza kutusema vibaya kwa watoto. Hatimaye wakianza kujitegemea wakija kututembelea, wewe unapewa fungu kubwa kwa kificho, halafu mimi mzee baba napewa 1,000 mbele yako, ili baadaye uje uniombe ya sukari.
Wabaya sana nyie wamama. Na mimi nimegundua hivi bado wananitegemea, natoa pesa ya matumizi ya wote mbele yao wote. Simpi mama ndiyo awape, yaani nawapa pesa ya matumizi hadharani mwenyewe. Maana mnaweza kusema imetoka kwenu badala ya kusema imetoka kwa baba.
 
Pole sana kaka.
[ QUOTE="eliakeem, post: 32232678, member: 16299"]
Halafu ndo zenu na nishida. Watoto wakianza kukua mnaanza kutusema vibaya kwa watoto. Hatimaye wakianza kujitegemea wakija kututembelea, wewe unapewa fungu kubwa kwa kificho, halafu mimi mzee baba napewa 1,000 mbele yako, ili baadaye uje uniombe ya sukari.
Wabaya sana nyie wamama. Na mimi nimegundua hivi bado wananitegemea, natoa pesa ya matumizi ya wote mbele yao wote. Simpi mama ndiyo awape, yaani nawapa pesa ya matumizi hadharani mwenyewe. Maana mnaweza kusema imetoka kwenu badala ya kusema imetoka kwa baba.
[/QUOTE]
 
Tunataka tujue je hao mabilionea wanaomiliki hiyo ardhi wanawakumbuka wenza wao katika raslimali hii muhimu?
Wako busy wanalima cash crop katika maeneo ambayo wangelima food crop wakenya wengi wangefaidika sana pamoja na kupunguza gharama za maisha kenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hku unga,mchele, sukari na ngano bei zikikaribiana kenya na tanzania...
Kwanza nilicheka sana kwenye umeme...unit 1 tsh 350
Wako busy wanalima cash crop katika maeneo ambayo wangelima food crop wakenya wengi wangefaidika sana pamoja na kupunguza gharama za maisha kenya
 
Back
Top Bottom