eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,630
- 13,764
- Thread starter
- #101
Hilo la wanawake umelitoa wapi? Labda Kwa makabila la kisomali huko wajir ,mandara na garisa na hilo ni Kwa sababu ya itikadi pamoja na Mila zao Ila sio Kwa wakenya wote . Wanawake wakenya wameruhusiwa kurithi viwanja kutoka Kwa Baba zao na Wana uwezo wa kugawana Mali ya familia pamoja na Mtoto wa kiume Kwa 50% Kwa hivyo leta hoja zenye mantiki na sio habari za vijiweni.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Aha haaa
Hata jamaa zangu luhya na jaluo?
Mi mwenyewe nawarithisha kwa masharti. Hata akiolewa, hiyo mali lazima iitwe kwa jina la ukoo la kipande yangu.