gharama halisi ya kujenga km moja ya reli ni dollar 2 millioni,wakenya wanalalamika kuwa wachina wamewacharge dollar millioni 6 kwa km,wao wachina ndo wanafinance then wakenya watalipa deni with interest.Ujenzi wa reli kutoa ajira zaidi ya elfu 30. Ndio mradi mkubwa kulioko yote EA.
kule the hague haendi tena atawakilishwa na wakili.
gharama halisi ya kujenga km moja ya reli ni dollar 2 millioni,wakenya wanalalamika kuwa wachina wamewacharge dollar millioni 6 kwa km,wao wachina ndo wanafinance then wakenya watalipa deni with interest.
kumbe financier ni yule yule anayefinance TAZARA...hawa wakenya mburukenge kabisa. TZ ina mtandao mkubwa sana wa reli na barabara kuliko kenya, UG, Rwanda, South Sudan combined. Wakiona ramani ya tz wanachanganyikiwa wanabaki kuweweseka na kutukana. Maana wao hata wakideki Ikulu yao wanatangaza. wanashangaa TZ iko kimya hata wakifanya jambo hawapigi mbiu kama walivyo wao.
Mtandao wa barabara ulio TZ ungekuwa kenya.....hakuna mtz ambaye angeongea. Tungetukanwa mpaka basi.
alikuwa ameshalewa bangi na bia...
tena anakunywa tusker lager kwa sana,...pamabafuuuuuuuuuuuuu zake
Sasa hapo amichana Tanzania vipi, bana acha uzushi, ujenzi wa reli tokea Mombasa hadi Kigali na Sudan Kusini na nyingine tokea Nairobi hadi Arusha na Moshi ni jambo muhimu sana katika kanda ya EA.
Siajelewa.
1. Ameichana Tanzania? Tanzania ni karatasi?
2. Kwa hiyo sasa hivi Tanzania ni vipande vipande? Asa mi niko kipande gani saa hii?
3. Ameichana kwenye TV? Asa hiyo TV inaukubwa gani? Kwamba kaiingiza Tanzania humo afu akaichana chana?
4. Nani alimsaidia kuichana? Kaichana kwa Panga? Ama mkasi? Au kaipiga nyundo ndio ikaparaganyika?
5. Mkuu, Weka Picha nipate Taswira tafadhali.
Aisee, sikufanya uchunguzi. Kumbe nyaraka huwa zinatolewa Ijumaa?Sisi acha tukomae na waraka. Ijumaa hiyo inakaribia tutasikia waraka mpya muda si mrefu.
Well said. Kwanini tusikubali kuchange kwa yale yanayoturudisha nyuma! Huwezi kuleta mabadiliko chanya bila kujishughulisha kutatua matatizo yako ya ndani ambayo kimsingi ndio yanakupa nguvu ya kupambana na adui otherwise hate dhidi ya jirani haitatusaidia kuleta maendeleo yetu wenyewe.Kama tunamhitaji lazima tumtumie ile tusonge mbele na kimsingi economically tunaihitaji sana Kenya
Huu mtandao wetu wa bara bara ungekuwaa Kenya ina maana hadi sebule zao ingekuwa lami!!!