Kenyatta anaichana live Tanzania now cheki Citizen

Ujenzi wa reli kutoa ajira zaidi ya elfu 30. Ndio mradi mkubwa kulioko yote EA.
gharama halisi ya kujenga km moja ya reli ni dollar 2 millioni,wakenya wanalalamika kuwa wachina wamewacharge dollar millioni 6 kwa km,wao wachina ndo wanafinance then wakenya watalipa deni with interest.
 
kule the hague haendi tena atawakilishwa na wakili.

Mkuu, pata updates...issues imeshamnukia kwa sababu ya kutishia mashahidi wamemwambia ni lazima ahudhurie vikao vyote vya kesi mahakamani yeye mwenyewe physically. Na pia Member states wa ICC wanaendelea na mkutano wa mwaka na wanataka kuifanyia marekebisho Rome Statute kuwa ushahidi wa maandishi wa shahidi ukubalike si lazima shahidi awepo mahakamani na hii imetokana na mashahidi dhidi ya Kenyatta kutishiwa maisha.

Anaweweseka tu.
 
gharama halisi ya kujenga km moja ya reli ni dollar 2 millioni,wakenya wanalalamika kuwa wachina wamewacharge dollar millioni 6 kwa km,wao wachina ndo wanafinance then wakenya watalipa deni with interest.

kumbe financier ni yule yule anayefinance TAZARA...hawa wakenya mburukenge kabisa. TZ ina mtandao mkubwa sana wa reli na barabara kuliko kenya, UG, Rwanda, South Sudan combined. Wakiona ramani ya tz wanachanganyikiwa wanabaki kuweweseka na kutukana. Maana wao hata wakideki Ikulu yao wanatangaza. wanashangaa TZ iko kimya hata wakifanya jambo hawapigi mbiu kama walivyo wao.

Mtandao wa barabara ulio TZ ungekuwa kenya.....hakuna mtz ambaye angeongea. Tungetukanwa mpaka basi.
 
Kikwete analalamika kama mkuu wa nchi,hakuna hatua stahiki kwa namna mambo yaendavyo amebaki hatutoki huku wenzake wanafanya maamuzi kwa maaendeleo yao,itakula kwetu
 
kumbe financier ni yule yule anayefinance TAZARA...hawa wakenya mburukenge kabisa. TZ ina mtandao mkubwa sana wa reli na barabara kuliko kenya, UG, Rwanda, South Sudan combined. Wakiona ramani ya tz wanachanganyikiwa wanabaki kuweweseka na kutukana. Maana wao hata wakideki Ikulu yao wanatangaza. wanashangaa TZ iko kimya hata wakifanya jambo hawapigi mbiu kama walivyo wao.

Mtandao wa barabara ulio TZ ungekuwa kenya.....hakuna mtz ambaye angeongea. Tungetukanwa mpaka basi.

Huu mtandao wetu wa bara bara ungekuwaa Kenya ina maana hadi sebule zao ingekuwa lami!!!
 
tena anakunywa tusker lager kwa sana,...pamabafuuuuuuuuuuuuu zake

Pamoja na jitihada kubwa za Mwalimu kuleta ukombozi wa mwafrika watanzania bado hatumjui adui wa maendeleo yetu, tunaisha kuporomosha matusi.
 
Well said. Kwanini tusikubali kuchange kwa yale yanayoturudisha nyuma! Huwezi kuleta mabadiliko chanya bila kujishughulisha kutatua matatizo yako ya ndani ambayo kimsingi ndio yanakupa nguvu ya kupambana na adui otherwise hate dhidi ya jirani haitatusaidia kuleta maendeleo yetu wenyewe.Kama tunamhitaji lazima tumtumie ile tusonge mbele na kimsingi economically tunaihitaji sana Kenya
 
Sasa hapo amichana Tanzania vipi, bana acha uzushi, ujenzi wa reli tokea Mombasa hadi Kigali na Sudan Kusini na nyingine tokea Nairobi hadi Arusha na Moshi ni jambo muhimu sana katika kanda ya EA.

Katuchana sisi ni wapumbafu na washamba sana wa mambo ya ujenzi wa reli
 
Waacheni wenzenu wafanye kazi kwa vitendo,

Wamesha zindua machako city, na sasa reli, na wanasonga mbele.

Sisi yetu - Mipasho ya 2015.
 
Siajelewa.

1. Ameichana Tanzania? Tanzania ni karatasi?

2. Kwa hiyo sasa hivi Tanzania ni vipande vipande? Asa mi niko kipande gani saa hii?

3. Ameichana kwenye TV? Asa hiyo TV inaukubwa gani? Kwamba kaiingiza Tanzania humo afu akaichana chana?

4. Nani alimsaidia kuichana? Kaichana kwa Panga? Ama mkasi? Au kaipiga nyundo ndio ikaparaganyika?

5. Mkuu, Weka Picha nipate Taswira tafadhali.

Duuuuh, we kweli tembele,akili yako ni mlenda.
 
Well said. Kwanini tusikubali kuchange kwa yale yanayoturudisha nyuma! Huwezi kuleta mabadiliko chanya bila kujishughulisha kutatua matatizo yako ya ndani ambayo kimsingi ndio yanakupa nguvu ya kupambana na adui otherwise hate dhidi ya jirani haitatusaidia kuleta maendeleo yetu wenyewe.Kama tunamhitaji lazima tumtumie ile tusonge mbele na kimsingi economically tunaihitaji sana Kenya

Wanafikiri maendelo yatakuja wakati umekalia kulalamika,kutukana na kuchukia wachapakazi. Haya na tuendelee kupepeta domo basi!
 
Huyo ni swahiba wa CCM, Nepi nnauye atoe kauli ya chama make walifanya kila mbinu ili awe Rais.
 
Huu mtandao wetu wa bara bara ungekuwaa Kenya ina maana hadi sebule zao ingekuwa lami!!!

unajua wakenya wengi wako confined na Nairobi, wakiona Nairobi ilivyo wanadhani nchi yao yote iko hivyo. kumbe sehemu kubwa ya kenya ni majanga. Uganda ndiyo usiseme. Kule north ni balaa. Haka ka Rwa ndiyo bure kabisa. Bara bara tu ya Dar-mwanza ikihamishiwa huko, watakosa hata vibustani vya kupandia migomba.
 
Back
Top Bottom