omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
Vipi, mbona unamshambulia mwekezaji mgeni namba moja Tanzania mbele ya South Africa na UK!Hiyo EAC itajengwa bila kushirikisha wenye nchi ambao ndiyo mnataka kuwaendeleza au ni utashi wa biashara?
kama ni biashara kenya siyo mmbiya mzuri wa biashara kwani mara kadhaa imekwisha wakatia wenzake access na kuna wakati huyo huyo museveni alifikiria kuachana kabisa na kenya.
Umoja wowote ule unapaswa kujengwa kwa kuaminiana na wote kuwa na dira na muelekeo mmoja na siyo mwanachama mmoja kujifanya kuwa yeye ndiye kiongozi na wengine wafuate nyayo.