kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

ichoboy01

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
73,354
136,487
35738484-9F3D-456C-9810-B34E855B9DC5.jpeg

FD16574C-FF26-4C14-A73A-2BB25C84A02F.jpeg
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Akili zako zinakuambia Wakenya wanaishi vizuri?? Ama kweli we boga.. Watu wanaishi kwa mlo mmoja, vijana karibia asilimia zote hawana kazi hata za ndani afu unasema wanaishi vyema nchi nzima inamilikiwa na watu asilimia 10 tu 90 iliyobaki maskini wa kutupwa
 
wanakua kwa 7.2 ila bado LDC maskini wa kutupwa AKA asshole state...Kenya inakua kwa 4.9 ila ni middle income, most developed, richest, biggest economy and most powerful country in East Africa:D:D:D Ethiopia and tz have on thing in common and thats why are growing at lightning speed...they are both poor ldc countries
LDC-2018.png
africa-un-jpg.502507
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Mkuu mada zingine unajipima na uwezo wako au taaluma yako ukiona sio uwanja wako wa kujidai usichangie bali unasoma maoni ya wadau wengine waliokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya suala husika.

Unatuaibisha sana mkuu.
 
Sijui habari za uchumi, lakini hapa naona namba hasi na chanya
Kenya 4.9
Ethiopia -8.3
Tanzania -7.2
Hii maana yake nini???
 
cha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaa:rolleyes::rolleyes::rolleyes:mwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Wewe akili yako umeamua kuipachika wapi.? 4 na 7 ipi kubwa?
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
sina hakika kama somo la uchumi ulipitia???
 
Back
Top Bottom