Kenyatta akwepa kuhudhuria mkutano wa 18 wa viongozi wakuu wa nchi za Afrika Mashariki!

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Wana JF si kawaida marais kukosa kukutana hasa katika mikutano muhimu ya viongozi wa nchi za Afrika Mashariki.

Lakini jambo la kushangaza rais wa Kenya Uhuru Kenyatta AMEKWEPA kuhudhuria mkutano huu wa 18 wa HEADS of STATES ambao utafanyika hapa kwetu Tanzania na badala yake amemtuma Makamu wake wa rais. Mh William Ruto.

Kwa mtu wa kawaida atasema "Kwani kuna ubaya gani kama ana DHARURA?"
Ukweli ni kwamba hili SUSIO la MAKSUDI.
Waingereza wanasema "Giving it a wide berth/ KUJIWEKA MBALI."
Sikatai huenda wameongea kwenye simu na rais Magufuli na kutoa UDHURU wake. Lakini hata ni hivyo naamini hivyo ni visingizio vyake tu.

Diplomatic PUNDITS/wachambuaji wa mambo ya Kidiplomasia wanaweza kujua zaidi WHY NOW?
Naamini kuwa KUNA SABABU isiyompendeza kutoka kwetu Tanzania.

Ikizingatiwa huu ungekuwa ni mkutano wake wa mwisho kabla ya uchaguzi , hivyo ilikuwa ni FURSA NZURI sana ya kuomba KUUNGWA MKONO na MARAIS WENZAKE ili achaguliwe tena mara nyingine.
Ila sasa amewakwepa na Kutuma MSAIDIZI wake.

Hii ni kama ANATUTUMIA UJUMBE fulani ambao ni lazima TUUTAFSIRI haraka tuuelewe na tufanye kinachohitajika.

KUTOHUDHURIA huku kunaonyesha kuudhika kwake kwa namna moja ama nyingine Maana mikutano kama hii huwa hakosagi!

SWALI :Nini hasa ambacho huenda tumemuudhi hadi kutohudhuria mkutano MUHIMU kama huu?
Na je ni namna gani tunawez KUPOZA DHANA zake KIDIPLOMASIA bila ATHARI/Negative effects on our relationship na jirani zetu?
 
ffb14745b47819c2e917f363da1ef663.jpg
Chanzo hiki hapa
 
Mbona hata jk kuna wakati hakuhudhulia akamtuma sitta, hata anko magu naye kuna wakati hakudhuria akatuna mwakilishi,uwe unakumbuka, ni kitu cha kawaida
 
Rais Kenyatta kutohudhuria ni sababu amerejea Kenya kutoka ziara ndefu ya kwenda Uingereza na China. Pili kama inavyoeleweka uchaguzi mkuu wa Kenya upo karibu sasa amerudi ili apange mikakati ya uchaguzi huo.
Tuache kupiga ramli.
 
Ni kweli. Ila kwa hili kuna zaidi ya KAWAIDA. Maana angependa aungwe mkono na wenzake katika uchaguzi wao huko. Ama unaonaje kwa hili mkuu.
 
Rais Kenyatta kutohudhuria ni sababu amerejea Kenya kutoka ziara ndefu ya kwenda Uingereza na China. Pili kama inavyoeleweka uchaguzi mkuu wa Kenya upo karibu sasa amerudi ili apange mikakati ya uchaguzi huo.
Tuache kupiga ramli.
Kenyatta ana nguvu yeye safari si tatizo. Anaweza toka China akakaa siku mbili akaenda Japani hilo sikubalianinalo mkuu.
 
Hapo tunaweza kumsamehe rais Magufuli maana alikuwa bado ni WAZIRI na si MTAWALA.
Huu uvumi wa kupendelea upande mmoja Rais wetu angetoa msimamo ili kupunguza dhana kutoka upande ule mwingine!.
Hata akipendelea anaweza kubadilisha nini? Mbona lowassa anasupport jubilee kuna shida gani? Wanaopiga kura ni wakenya magufuli au lowassa watafanya nini kwa ushabiki wao? Hii ingekuwa shida kama odinga angekuwa msituni kuwa magufuli anampa silaha na mahitaji mengine apambane na Uhuru kivita.
 
Ahaa. Aisee!
 
Kampeni Kenya imepamba moto ya uchaguzi Mkuu dakika moja kwa mgombea ni kama mwaka mmoja Si rahisi kuipoteza.

Hakuna wa kulaumiwa tukumbuke Hata sisi hapa Tanzania hali ilikuwaje kwa wagombea hasa Mh Edward Liwassa na Dr John Magufuli mpaka ilifika muda hata ilikuwa hautoshi tena na baadhi ya maeneo waliacha kwenda.

Nakumbuka tukio Mh Edward Lowassa kushindwa kufika ktk mkutano mkubwa sana pale Tunduma kiasi cha kuleta Fuji kws wafuasi wake wakidai waliambiwa ni Lowassa anakuja na mwingine yoyote kwahiyo wanamtaka,kazi ya ziada ilitumika kuwatuliza wale wafuasi waliokuwa wamefurika uwanjani hapo Tunduma!!

Kwahiyo sidhani kama kutokuja kwake ni issue au big deal kimahusiana walaa,tumuache aendelee na uchaguzi salama.

Na wala ujio wake ktk mkutano wa EAC hautasaidia yeye kurudi madarakani bali juhudi zake na kukubalika kwa Sera zake ndipo wanainchi w Kenya wanataamua kumrudisha au kumpa mwingine uraisi!!
 
ffb14745b47819c2e917f363da1ef663.jpg
Chanzo hiki hapa
Mleta mada mchochezi, naona hii ni ID yako nyingine ulitaka kufikisha ujumbe na umefika. Nimeona ulijiunga siku zinazokaribiana. hata hivyo marais hawapigii kura rais wa nchi nyingine pia Magufuli amewakilishwa mara nyingi tu na Makamu na Waziri mkuu hadi mkalalamika humu jukwaani. Kenyata hajafanya tofauti na anavyofanya rais wetu.
 
Hata akipendelea anaweza kubadilisha nini? Mbona lowassa anasupport jubilee kuna shida gani? Wanaopiga kura ni wakenya magufuli au lowassa watafanya nini kwa ushabiki wao? Hii ingekuwa shida kama odinga angekuwa msituni kuwa magufuli anampa silaha na mahitaji mengine apambane na Uhuru kivita.
Chikundi,
Hapa afrika demokrasia ni uhaini kabisa!
 
1: Kwa nini unajielekeza kwamba labda tumemuudhi?. Ka yy ndio anaona aibu kwa aliyotutendea unaonaje hapo?

2:Unasema c kawaida yake kukosa mikutano hii. Je kola anapokuja huwa nchi yake ipo ktk mchakato wa uchaguzi?

Watanzania hebu tujiheshimu na mawazo yetu au ndio vyeti??
 
Back
Top Bottom