Kenyata awaita majaji wanne kuwa ni wakora ( wahuni)

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Baada ya jana kupongezwa kwa namna alivyoyapokea matokeo ya kesi ya uchaguzi kwa ustahimilivu, leo wakati akiongea na wajumbe wa chama chake uvumilivu ulimshinda na kuwaita wale majaji 4 kati ya 6 walioipinga tume ya uchaguzi kuwa ni wakora yaani wahuni. Source Star Tv taarifa ya habari!
 
Kenyatta alishinda uchaguzi kuna taratibu ndogo ndogo hazikufuatwa ila hakuna udanganyifu wowote uliojitokeza

Acha kuandika usiyoyajuwa.

1. Idadi ya kura zilizotangazwa na tume zilitofautiana kwa mbali na kura halisi majimboni.....forging data

2. Makaratasi mengi yalikuwa feki yaliyotumika natume.....
- Hayana sahihi za wahusika mengine
- hayajajazwa inavotakiwa
- mengine amesain mtu mmoja tuu sehemu zote nk

Huu ndo wizi umekuwa ukitumika pia hapa tz wa kubadilisha jumla ya kura vituoni kupewa mwenye mizizi iliyojichimbia chini zaidi kwa kutumia tume isiohuru ya makada wa ccm.
 
Uko sahihi Mkuu, hapa kwetu kura za mzizi mrefu zilizotangazwa na tume ni tofauti kwa vituo vingi na zilizopigwa vituoni.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Baada ya jana kupongezwa kwa namna alivyoyapokea matokeo ya kesi ya uchaguzi kwa ustahimilivu, leo wakati akiongea na wajumbe wa chama chake uvumilivu ulimshinda na kuwaita wale majaji 4 kati ya 6 walioipinga tume ya uchaguzi kuwa ni wakora yaani wahuni. Source Star Tv taarifa ya habari!
ha ha ha alionesha ukomavu kumbe unafiki kabisa sasa anaonesha sura halisi ya watawala wa africa
 
Subirini kama atashinda uchaguzi ukirudiwa wale majaji atalala nao mbele. Body language yake toka siku majibu yanatangazwa ina ashiria vita. Kumbukeni mtoto wa nyoka ni nyoka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wahusika wawe makini ili kuepusha kujitokeza kwa utata ktk uwasilishaji wa taarifa kwa umma
 
Back
Top Bottom