Kenya's National Oil Corp kuhakikisha bomba la mafuta linapitia Lamu

Huu mradi wa bomba wa Kenya upo kisiasa zaidi, katika macho ya kibiashara haulipi. Hii habari kwa lugha nyingine unaweza sema Tullow, Africa Oil, Total na Maersk wamekataa kuendelea na mradi wa bomba la Lamu, hivyo serikali kwa kutumia NOCK wameamua kununua kununua hisa zao ili kulazimisha maamuzi ya kujenga bomba. Mradi upo katika macho ya kisiasi zaidi na sio kibiashara .

Kama ulivyokuwa mradi wa kusafirisha mafuta ghafi kwa malori, ilikuwa danganya toto ya uchaguzi, umeshakufa kifo cha asili na vivyo mradi wa bomba la Lamu kwa sasa hauwezekana na utakufa kifo cha asili.

NB: Hivi ni lini Turkana na wao wataunganishwa na Kenya kwa barabara safi ya Lami, Nyang'au mna roho mbaya sana, mnafikiria kujenga bomba kwenda kubeba mafuta ya wa Pokot kabla hata ya kuwapa barabara, akili za wapi hizi .
Sijakuelewa hebu rudia tena kwa utaratibu bila kuhema.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom