Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 58,780
- 78,451
Kilimanjaro Airport facelift starts January | Send to a friend |
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjaro Airport facelift starts January | Send to a friend |
Mbona mnakurupuka na kuyumba ovyo, mara mnajenga uwanja kijijini kwa rais huko Chato... majanga aisei.safi sana
Rais anahitaji airstrip kutua Chato ni kitu cha kawaida, Mbona Rutto anajengewa tena yeye ni Deputy president?Mbona mnakurupuka na kuyumba ovyo, mara mnajenga uwanja kijijini kwa rais huko Chato... majanga aisei.
tumeyafanya yafyate baada ya kuyanyang'anya bomba la mafuta la Uganda! Sasa yanahaha maana yalifika wakati yakataka kujenga uwanja wa ndege Taveta ati kuhudumia watalii wanaokuja Mt Kilimanjaro baadae wakazuia tour vans zetu zisiingie JNIA! sasa tunapanua KIA na barabara ya Arusha-KIA nayo inapanuliwa! Huku tukiwachapa viwili bomba la mafuta na reli kwetu dhidi ya sifuri kwao.Nzuri sana...Manyang'au yanaumia Roho..
haha haki hivi Wakenya hamuoni aibu kwa wivu? Nitapenda kama viongozi woote watakaribishwa ila Uhuru ili mupige kelele vizuri...!Hata m7 hajasema wakati ata launch mradi wa bomba nyie mnakurupuka ovyo..eti august haiko mbali.
Hata m7 hajasema wakati ata launch mradi wa bomba nyie mnakurupuka ovyo..eti august haiko mbali.
Ruto kala fedha!Vipi ujenzi wa Taveta inernational airpot umefkia wapi
Aise.. Walipanga hadi makadirio wangejenga bwanaRuto kala fedha!
Mt Kenya hamna uwanja, iwe Taveta?Aise.. Walipanga hadi makadirio wangejenga bwana
Au Tanzania iliwapinga sana kutokana na kuwa karibu na KIA na Mt. K'njaro