Juakali1980
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 798
- 506
Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
Tulia bossIts the only transport hub in the region, really??? Sound like a day dream.
Pia Nakuru IpoKenya lipo kutoka Mombasa hadi Eldoret. Tanzania lipo wapi?
Mechi haijaisha mnasema kwenu ndio hub ya EA yote, sasa Djibouti, Tanzania watasema nini?Tulia boss
Sasa, Tanzania na Zambia (Tazama) si ndio wana ndefu zaidi kutoka Dar mpaka Ndola?
Sasa, Tanzania na Zambia (Tazama) si ndio wana ndefu zaidi kutoka Dar mpaka Ndola?
Djibouti????? Looool .....maybe sasa ungesema TanzaniaMechi haijaisha mnasema kwenu ndio hub ya EA yote, sasa Djibouti, Tanzania watasema nini?
Kenya imports more than Tz and Zambia combined this argument wont make senseSasa, Tanzania na Zambia (Tazama) si ndio wana ndefu zaidi kutoka Dar mpaka Ndola?
Hapa unajaribu kuzima moto tuu, unajuwa Djibouti wanaweza kuwa shida kwa Mombasa au Lamu. kwa sehemu waliopo. Maana ni karibu na Arab, karibu na Suez canal, Mediterranean.Djibouti????? Looool .....maybe sasa ungesema Tanzania
Sasa hapa argument ni import au pipeline?Kenya imports more than Tz and Zambia combined this argument wont make sense
Na si Kenya kwa miaka mingi sasa imekuwa ikiwauzia mafuta yaliyosafishwa? Hizo miundo mbinu tayari tunazo bwana wee. Na bado twaongeza!Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
Hawa watasema yao siku ile watafanikiwa kuweka infrastructure zao na kuipiku Kenya as the regional hub. But meantime, that distinction still belongs to us.Mechi haijaisha mnasema kwenu ndio hub ya EA yote, sasa Djibouti, Tanzania watasema nini?
Wanapaisha sauti kubwa kabla ya kipenga cha mwisho.Hawa watasema yao siku ile watafanikiwa kuweka infrastructure zao na kuipiku Kenya as the regional hub. But meantime, that distinction still belongs to us.