Kenya’s economy to grow fastest in Africa in 2021 - World Bank

Lini tuliwapita?
Lini tushawahi kuwazid wakenya tangu tupate Uhuru?

Wakati wa mwalimu uchumi wetu ulikuwa ndiyo mkubwa Afrika Mashariki. Uzalishaji ulikuwa mkubwa kwakuwa tulikuwa na viwanda vingi.

Uchumi ulianza kuporomoka kipindi cha Mwinyi 1985 - 1995 baada ya kufanya restructuring.

Ulipanda kidogo wakati wa Mkapa kwenye miaka ya 1998 - 2002 baada ya kufungulia uchimbaji wa madini.

Baada ya hapo tukawa sawa ila kipindi cha kikwete ndipo wakaaanza kutupita .
 
Achana na siasa za nyimbo za halaiki, hatujawahi kuwa na viwanda vingi kuliko Kenya zaidi ya vya kwenye nyimbo. Hakuna mwaka maduka ya Kenya yalifurika bidhaa toka Tanzania ila yetu ndiyo miaaka yote tangu kabla ya Uhuru mpaka sasa; wakati huo unaousema wa kazi was Arusha na Kilimanjaro walikuwa wanahemea kwenye mipaka ya Kenya, kubali usikubali ukweli utabaki kuwa hivyo.
 
Ndio maana huwa nawashangaa baadhi ya hawa majirani zetu ukanda huu wanaojaribu kujifananisha na Kenya. Yaani hapa World Bank wanazungumza kuhusu nchi ya Kenya kuongoza kwenye kasi ya ukuaji wa uchumi barani Afrika. Alafu utawasikia wakijimwambafy huku wamebana pua wakisema eti sijui wao ni dona kantrii.

Tuoneshe ni wapi panaposema Kenya inaongoza kwa ukuaji wa uchumi Afrika.
 
Endelea kujitia hamnazo, hujui kusoma?
Ndio maana huwa nawashangaa baadhi ya hawa majirani zetu ukanda huu wanaojaribu kujifananisha na Kenya. Yaani hapa World Bank wanazungumza kuhusu nchi ya Kenya kuongoza kwenye kasi ya ukuaji wa uchumi barani Afrika. Alafu utawasikia wakijimwambafy huku wamebana pua wakisema eti sijui wao ni dona kantrii.
Kwani ni nini kinajadiliwa kwenye uzi huu?
 
Achana na siasa za nyimbo za halaiki, hatujawahi kuwa na viwanda vingi kuliko Kenya zaidi ya vya kwenye nyimbo. Hakuna mwaka maduka ya Kenya yalifurika bidhaa toka Tanzania ila yetu ndiyo miaaka yote tangu kabla ya Uhuru mpaka sasa; wakati huo unaousema wa kazi was Arusha na Kilimanjaro walikuwa wanahemea kwenye mipaka ya Kenya, kubali usikubali ukweli utabaki kuwa hivyo.
Labda kama umezaliwa juzi ila Tanzania ilikuwa imejitosheleza kiviwanda, tulikwa tunatengeneza kila kitu. Kuanzia viberiti, dawa za meno, matairi ya magari, zana za kilimo mpaka vipuri vya mashine.
 
Hawa watoto hawajui vitu vingi sana. Hawajui ya kuwa kuna kipindi nchi hii ilikuwa ya viwanja. Matairi, magari (Nyumbu achana na TAMCO ya Kibaha), nguo, vifaa vya kilimo, mvinyo, orodha ni ndefu sana vyote vilikuwa vikizalishwa nchini.
 
Halafu nini ikafanya muwache kutengeneza vitu hivyo? Elezea kwa undani
 
Halafu nini kilifanya muwache kuunda vitu hivyo na kuanza kutegemea Kenya?
 
Halafu nini ikafanya muwache kutengeneza vitu hivyo? Elezea kwa undani
Ilikuwa ni masharti ya IMF na WB ili kuua legacy ya ujamaa. Walimlazimisha Nyerere abadilishe mifumo ya kiuchumi, ulinzi na maendeleo ili waweze kumkopesha. Nyerere alikataa masharti yao na kuamua kung'atuka (kuacha uongozi).

Masharti hayo ya kijinga yalikuwa mengi, ikiwa ni pamoja na....

kushusha thamani ya shilingi, kipindi Nyerere anaondoka $1 = Tsh 20 baada tuu ya Mwinyi kukubali masharti $1 = Tsh 200.

kubadilisha sheria za kiusalama (national service act). Zamani ilikuwa kila kijana aliemaliza kidato cha sita ni lazima aende jeshi la kujenga taifa (JKT), kabla ya kujiunga chuo ili ajifunze jinsi ya kuilinda nchi yake (tulikuwa na reserve army kubwa).

Kuruhusu makampuni ya nje kuanza kuuza bidhaa zao katika soko la ndani, mfano kuruhusu mitumba.
Waliporuhusu kuingiza mitumba, industry yote kuanzia wakulima wa pamba, viwanda vya kutengeneza mbolea, viwanda vya kutengeneza zana za kilimo (majembe, plau n.k), wafanyabiashara wa kununua na kuuza vitambaa, mafundi wa kushona nguo (tailors), wote hao waliharibiwa uchumi wao.

Siyo hivyo tuu, hata nyinyi wakenya mkatumika na mabeberu kutuulia viwanda vyetu.
Mlikuwa mnavinunua viwanda (mfano kiwanda cha karatasi mufindi) halafu badala ya kuviendeleza mkaanza kuhamisha mitambo na kuipeleka kenya. Tukaanza kununua karatasi kutoka kenya, na hivyo industry yote kuanzia kwenye mashamba ya miti, utayarishaji wa magogo na viwanda vya karatasi vyote hivyo vikafa. Mwishowe ajira nyingi zilipotea.

Kwenye ndege, tukaingia ubia na South Africa, wakachukua route zetu zote za ndege na kuchukua vipuri vyote vilivyokuwa kwenye karakana ya Kilimanjaro International Airport . Mwishowe shirika letu la ATC likafa.

Ni mengi sana... hivyo ukiona Magufuli anakuwa mkali na kutetea maslahi ya Tanzania uelewe kuwa kuna "bad blood" hapo.
 
Poleni sana. Naona ndio maana mnawachukia mabeberu sana. Yaani waliwafanyia unyama sana. Yaani nakumbuka nikisoma kuhusu SAP programme ya IMF na jinsi ilivyoharibu uchumi za nchi za Afrika. Hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo. Serikali ya Kenya pia ililazimishwa kuuza kampuni za kiserikali kwa Wazungu ambao waliziangusha kampuni hizo. Imf ni shetani mkubwa sana.
 
Manyang'au wamehonga ili ionekane uchumi wao una kasi ya ukuaji!!

Usiwaamini nyang'auzi🤣🤣
Inamaanisha hata nyinyi pia mlihonga ndio muondolewe kwenye lile tope la LDC? Mibongolala na excuses hamjambo
 
Poleni sana. Naona ndio maana mnawachukia mabeberu sana. Yaani waliwafanyia unyama sana. Yaani nakumbuka nikisoma kuhusu SAP programme ya IMF na jinsi ilivyoharibu uchumi za nchi za Afrika. Hata Kenya ilikuwa hivyo hivyo. Serikali ya Kenya pia ililazimishwa kuuza kampuni za kiserikali kwa Wazungu ambao waliziangusha kampuni hizo. Imf ni shetani mkubwa sana.
Kifupi ubepari pekee kuleta maendeleo kwa nchi za kiafrika ni kujidanganya. Wazungu wakisema ubepari teyari wana zana zote za kiushindani ikiwemo WTO, IMF, WB, UN, EU, NATO n.k. Sasa mwafika ana nini cha kumkingia kifua ili aweza kuuza bidhaa zake ulaya bila bugdha?
 
Ilikuwa ni masharti ya IMF na WB ili kuua legacy ya ujamaa. Walimlazimisha Nyerere abadilishe mifumo ya kiuchumi, ulinzi na maendeleo ili waweze kumkopesha. Nyerere alikataa masharti yao na kuamua kung'atuka (kuacha uongozi).

Masharti hayo ya kijinga yalikuwa mengi, ikiwa ni pamoja na....

kushusha thamani ya shilingi, kipindi Nyerere anaondoka $1 = Tsh 20 baada tuu ya Mwinyi kukubali masharti $1 = Tsh 200.

kubadilisha sheria za kiusalama (national service act). Zamani ilikuwa kila kijana aliemaliza kidato cha sita ni lazima aende jeshi la kujenga taifa (JKT), kabla ya kujiunga chuo ili ajifunze jinsi ya kuilinda nchi yake (tulikuwa na reserve army kubwa).

Kuruhusu makampuni ya nje kuanza kuuza bidhaa zao katika soko la ndani, mfano kuruhusu mitumba.
Waliporuhusu kuingiza mitumba, industry yote kuanzia wakulima wa pamba, viwanda vya kutengeneza mbolea, viwanda vya kutengeneza zana za kilimo (majembe, plau n.k), wafanyabiashara wa kununua na kuuza vitambaa, mafundi wa kushona nguo (tailors), wote hao waliharibiwa uchumi wao.

Siyo hivyo tuu, hata nyinyi wakenya mkatumika na mabeberu kutuulia viwanda vyetu.
Mlikuwa mnavinunua viwanda (mfano kiwanda cha karatasi mufindi) halafu badala ya kuviendeleza mkaanza kuhamisha mitambo na kuipeleka kenya. Tukaanza kununua karatasi kutoka kenya, na hivyo industry yote kuanzia kwenye mashamba ya miti, utayarishaji wa magogo na viwanda vya karatasi vyote hivyo vikafa. Mwishowe ajira nyingi zilipotea.

Kwenye ndege, tukaingia ubia na South Africa, wakachukua route zetu zote za ndege na kuchukua vipuri vyote vilivyokuwa kwenye karakana ya Kilimanjaro International Airport . Mwishowe shirika letu la ATC likafa.

Ni mengi sana... hivyo ukiona Magufuli anakuwa mkali na kutetea maslahi ya Tanzania uelewe kuwa kuna "bad blood" hapo.
These things were not just limited to Tanzania alone. They also did the same right here in Kenya as well as many other African countries.
 
Labda kama umezaliwa juzi ila Tanzania ilikuwa imejitosheleza kiviwanda, tulikwa tunatengeneza kila kitu. Kuanzia viberiti, dawa za meno, matairi ya magari, zana za kilimo mpaka vipuri vya mashine.
Na Yale maboksi matupu ya Surf, Colgate, Palmolive, Kiwi, Lactogen, baiskeli za Raleigh, matairi ya baiskeli Avon, Omo, Lifebuoy, makopo ya Blue Band, Milo, maziwa ya KCC, Kimbo, Cocoa na vinginevyo vingi mlivyokuwa mkipamba majumbani mwenu na kupiga navyo picha mmeshikilia mkononi! Zile taksi za Arusha Namanga zilizokuwa zikishindana nenda rudi mchana kutwa kupeleka watu shopingi Namanga! Na zile kanga za Mombasa zilizokuwa zinafichwa ndani ya matairi ya mabasi! Na matanki ya malori! Na yale magari ya Aspro, Cafenol, viatu vya Bata, Surf na Fixture Films yaliyokuwa yanafanya matangazo ya biashara ukiacha matangazo ya bidhaa za Kenya Radio Tanzania! Ninakushauri tena acha uliyokuwa ukiimba kwenye nyimbo za halaiki.
Hakuna hata bidhaa moja ya Kenya iliyokuwa inatengenezwa mwaka 1960 hivi sasa haipo! Zote bado zinatengenezwa na zipo.
 
These things were not just limited to Tanzania alone. They also did the same right here in Kenya as well as many other African countries.
True that, but for Tanzania it was personal.

They were more aggressive with us because Nyerere was an enabler. He lobbied African countries (OAU) and others (NAM - non aligned movement ) to get enough votes for China (PRC) admission in to the UN (1971). He prevented the spread of white supremacy in southern Africa by helping expelling the regime of the likes of Ian Smith.
 
Back
Top Bottom