Kenyas Deputy President has A Child out of wedlock

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,481
2,346
He confirmed that he has a 11yr old daughter
1486059668445.jpg
 
Her Daughter's Name is Abby

And Kenyans arent Letting it Go

"BABA ABBY " is trending on Twitter

Also


1486059861228.png
 
Lakini Kenya mlipitisha Sheri ya kuruhusu kuoa wanawake zaidi ya mmoja? Kuna tatuzo gani hapo? Huku kwetu tuna msemo unasema "kitanda hakizai haramu"
Haja muoa na ana neglect hasaidii mtoto wake leo amepelekwa Hospitalini akashindwa kulipa na Ruto allegedly ana earn 40mn a month
1486064448305.jpg
 
Ruto has already said he got the lady a job paying 90k, gives her 40k per month as allowance and educates the kid in private school. All that for a lady who is married and with other kids. There are things that stand out here: Ruto did not beat around the bush, he accepted immediately. The other is the lawyer,,, the less said about him the better
 
Hehehe uuuuuìii
Ni mwaka wa uchaguzi na tutachimbana hadi manyumbani. Yaani ni wakati wa kuanikana hadi chupi ulizovaa.

Mara fulani hana cheti cha chuo Kikuu, mara yule ni tena muuza madawa, mara huyu ni mchepukaji na ana mademu yaani tutaskia mengi.

Anyway Wakenya kura tunazo na kila mtu amefanya maamuzi ya kiongozi wake, haya yote hayabadilishi wala nini.

Halafu hongera Ruto kwa kukubali kuwa anamsaidia mwanaye. Sioni cha ajabu hapo, maana leo hii akivuka na kuingia upinzani utashangaa jinsi wanaotokwa na povu watakavyobadilika na kumsifia halafu wale wa serikali watamponda.
 
Ruto must be latex intolerant, he has 9 children with his wife already and now another 11year old. And he goes for women who don't use contraceptives. Machozi pekee ndio anamwaga inje:D:D:D
 
Ruto must be latex intolerant, he has 9 children with his wife already and now another 11year old. And he goes for women who don't use contraceptives. Machozi pekee ndio anamwaga inje:D:D:D

Sema he is a sharp shooter and potent too, maana there are guys who don't use latex but never manage to make children no matter what, or only end up with just one kid.
 
Ruto must be latex intolerant, he has 9 children with his wife already and now another 11year old. And he goes for women who don't use contraceptives. Machozi pekee ndio anamwaga inje:D:D:D

Ojingaism is a curse. How many children does your wife have?
 
Ruto must be latex intolerant, he has 9 children with his wife already and now another 11year old. And he goes for women who don't use contraceptives. Machozi pekee ndio anamwaga inje:D:D:D
9???
 
Back
Top Bottom